Mwanaume anazeeka akiwa na umri gani..??

Kumbe thate something tu? Mie eti nilifikiaria umefika 50.........
Kula zako raha wakati sahihi ukifika utaoa... Ndoa ni kama fever fulani, inapokushika haizuiliki wala hutasikia la mtu... Dawa ya hiyo fever itakuwa ni ndoa tu pasipo kushurutishwa na yeyote... Just give it time halafu utakuja kuniambia ........
BTW Mie na Filipo tulikuwa tunajua badobado sana, lakini one day fever ilifikia kwenye point of no return tukajikuta tumefanya yaliyotupasa kuyafanya.....
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
hapa mkuu inazungumziwa eti.......nyumba ndogo zikiwa hazipo....ufanyeje....? suluhisho linahitajika hapa.......
Kwanza swali lina conclusion kwamba nyumba ndogo lazima ziwepo........kama sikubaliani na hiyo conclusion bado natakiwa kuchangia??

On the second thought.........kwani huwezi kumfanya mama yeyoo baba tamtam wako kuwa nyumba ndogo?.....
labda tuweke list ya vitu vinavyofanya Nyumba ndogo iwe nyumba ndogo...

1) .....
 
mimi naona iwe hivi....ili mjadala usiwe mreeeeeeefu.....mkuu @St Paka Mweusi ye aendelee kumega.....kwani nini bana....halafu hapo mbeleni ndio afanye uamuzi au asifanye kabisa.....we unaonaje.....?
 
Back
Top Bottom