Mwanaume anazeeka akiwa na umri gani..??

St. Paka Mweusi hakunaga kuzeeka kwa mwanaume ila tatizio ni pale unapokuwepo kuwepo inaanza kutia wasi wasi na yale ya mama anataka wajukuuu sasa wewe na kupita pita kwako huko hujamletea hata kajukuu kamoja akakaona huwa lazima aseme aise unazeeka
Na siku hizi kuna manesi bana wana maneno hao eti umri umeenda na wewe baba unapeleka chupa za chai mkeo amejifungua maneno yanaanzia na vicheko vya kimbea eti ulikuwa wapi umechelewa wapi mpaka muda huo hujamaliza haya mambo
 
Last edited by a moderator:
Inabidi uoe wewe kama unaona wakati umefika! Usioe kwa pressure za watu! Ila kwa wewe paka mweusi bora uoe sababu:::::.::::::::::::::::;:.:
ukioa kwa pressure unaweza ukaangukia kwenye
"Chuma chakavu"
source Zinduna

Nimechoka na pressure toka kila kona wakuu,kila kukicha unazeeka ,unazeeka na nikiuliza nazeeka kivipi wananiambia mpaka leo hujaoa tu bado unasubiri nini..??Au unataka wanao waje kukuita babu.Naomba ufafanuzi wenzangu hivi mwanaume mpaka aanze kuandamwa hivi inaonekana kuna walakini sehemu fulani.Ni lini na katika umri gani hasa mwanaume anapokuwa amezeeka na amechelewa kuoa..:crazy::crazy::crazy:

Copy: Arushaone Asprin Madame B Arabela zubedayo_mchuzi Preta Masanilo Nyani Ngabu Ruttashobolwa Bishanga Erickb52 Mungi Filipo marejesho Mkuu rombo Chilli tedo gfsonwin BADILI TABIA Kongosho C6 charminglady Baba V Ciello Kipipi Judgement figganigga mzee wa mia. beibe nasty na wengine wote ambao sikuwatumia copy..
 
Last edited by a moderator:
Shabash,huu nauita ushauri wa mwaka na nimepata jibu la kuwapa wajomba....Na LIKE umeiona hapo Erickb52 ..??
Hahahhaaa St. Paka Mweusi umenichekesha aiseee
Heshima ya mwanaume iko hapo kaka...kama mtalimbo umelala dolo dah ni fedheha sana bora kukosa mikono kuliko huo ulemavu.
Jay Dee aliimba ...umelala huoo mtalimbo
 
Last edited by a moderator:
Inabidi uoe wewe kama unaona wakati umefika! Usioe kwa pressure za watu! Ila kwa wewe paka mweusi bora uoe sababu:::::.::::::::::::::::;:.:
ukioa kwa pressure unaweza ukaangukia kwenye
"Chuma chakavu"
source Zinduna


Nimekusoma Loya asante kwa ushauri...
 
Back
Top Bottom