Mwanaume anapomtaka mwanamke

Hahahahahaha..... was just playing........... Dont take ODM too serious LOL

BTW hebu twende PM nikuambie kitu flani muhimu.
huku niliko mabus hayapiti mtaa huo wa pm sasa labda nisubiri usafiri wa ungo mkuu.
 
Oh umerudi... haya nambie na mama Matesha wangu anavyoitwa bebii pia na viserengeti boi inakuwaje? Tatizo ni kwa wanaume tuu???

we Asprin mi sina kiburi hapa ni mawazo ya watu natafuta kwani nina watu ninao wafahamu wanalalamikia hili. ok wengi inaanzia mbili na kuendelea na wanawake inawezekana wapo sikatai ila malalamiko yangu kwa leo ni pande hiyo ya kina baba sioni sababu yakubadilika ghafla nakuanza kuitana babananihii, ulivyokuwa unamuita mkiwa wachumba basi iendelee pengine na zaidi na kweli umaanishe si kupritendi.
Ukweli wa jambo hili upo na unajua hilo sema tu utaki kukubali kwamba lipo
 
Last edited by a moderator:
Mimi na marafiki zangu wengi tunaitwa baba nanihii na tuko proud kwa hilo.... kwanini wewe ukiitwa mama nanihii unamaindi sana??

Nataka kujua kati ya Asprin shansarie na Ablessed kunaa nini kati yenu?
Hommie tuna nini mimi na wewe? Hujui muda wangu bado haujafika? Huu mwezi mtukufu wakezo AshaDii na gfsonwin umewaacha wapi wapumuwe???
 
Last edited by a moderator:

Walw hathubutu kuniita hivyo eti dear wangu kiwatengu nj
 
Last edited by a moderator:
@shansarie nakumbuka zamani kulikua na mafundisho mwanamke alikua akifundishwa namna ya kuitunza ndoa yake. Walifanya mengi sana wamama wale lkn wapi bwana haikusaidia kitu ni kama iliongeza kasi ya kwenda nje ya ndoa. Sasa ni kama ulivyouliza wanaume waje wajibu hii mada je kulikoni mbona takwimu zinaonyesha kua hawaridhiki hata wakibebwa na kuliswa kama watoto .
 

siku hizi digital watu wanaingia kwenye ndoa wanajua kila kitu basi tu ujeuri hawataki kuyatimiza
 
Babu unaniita na mie niko na baby wangu paw? Sie yunaitana baby toka enzi na enzi .
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…