Mwanaume anapokuwa muongo aka mmbeya

Mwanaume anapokuwa muongo aka mmbeya

Weka kisa cha wewe,boss na huyo rafiki yako nasi tutajua kama ni mmbea au wewe ulikuwa na shida kweli!!!!!

Kama ulikiwa unafisadi ofisi na nchi na yeye ni mzalendo ulitaka akufichie uchafu wako?????!!!!!

Nini kilitokea????!!!!


Na kama wewe sio mmbea kwa nini hujam face umwambie bali umekuja kumsengenya huku????!!!!

umamaliza kazi..................
 
Kwa yeyote mwanaume mwenye tabia hiyo amezidiwa na hormones za kike ni kumuandalia kikundi cha kumsuta huku amevalishwa kitop na nini kile dada white mnachovaa ndani lakini juu ya kyupi kiunoni.Mimi kwa tabia yangu kama mwanaume huwa simsemi mtu hadi awe hayupo mahali pale ,je asiposikia au kujua nimemsema huo kwani utakuwa umbeya?Tehe teheee


Wale wale wenye elimu ya mitishamba.
 
hatuna uhakika kama alikusengenya....isjekuwa mlikuwa mnamgombea bosi!! Umbea kwa mwanaume duh!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom