Mwanaume anapodanganywa na msichana


Lakini ndio tulivyo wanaume wengi, mwanaume akikaa na mwanamke sehem tulivu kitu cha kwanza mwanaume lazma afikirie ngono,pale mnapoendelea kuwa karibu zaidi ndivyo internal forces znazidi kumshawish akutongoze na akishakutana na marafiki wakampa maneno tayar lazma akuapproach.
 
Ruttashobolwa

Mmmmhhhh hawa viumbe sijui huwa wanafikiria vipi.
btw mi siamini katika urafiki wa man na woman uliopitiliza bila mapenzi ndani yake!sijui lakini..
 
Last edited by a moderator:

Iiiiiisssssshhhhh mkuu nimeishia kutoa macho tu
 
Haha ndo madem walivyo hvyo,,inabid ucheze nao kwa akili ya kawaida tuu,,nshawah kuwa na dem wangu flan ila baada ya km miaka 2 ikabd afunguke eti kwann ckumtongoza,,eti nilimvizia tuu,,haha
 
nimewagegeda rafiki zangu wa kike kama wanne hivi kwa mbinu hii.......unampa uhuru akuzowee had anakuja geto mwenyew.....kinachofata inakuwa ni "tap in" ktk football

ndio nimemwambia Apologise lady urafiki wa mwanaume na mwanamke unaishia sehemu moja tu!
 
Last edited by a moderator:

Nikweli ni mawazo yenu wanaume, lakini mkikataliwa muwe mnakuwa wapole sio kujenga chuki, mmetisha aisee!!
 
Nikweli ni mawazo yenu wanaume, lakini mkikataliwa muwe mnakuwa wapole sio kujenga chuki, mmetisha aisee!!

Ila hapo kwenye kujenga chuki inategemeana ntu na ntu,mwingne kitendo cha kukataliwa na mwanamke alikuwa anaamini kwa % zote kuwa atampata anakichukulia kama kadhalilishwa.Wakat huo mwanaume mwingne anakichukulia kama changamoto ndan ya maisha ya mapenzi.
 
ndio nimemwambia Apologise lady urafiki wa mwanaume na mwanamke unaishia sehemu moja tu!

PRONDO, kujenga urafiki sio jambo baya, na mapenzi ya watu wanaoanza nz urafiki huwa mazuri na mara nyingi huwa na mwisho mzuri kama wanajitambua, ila tatizo wanaume mkikataliwa mnajenga chuki.
 

Nimekupata best.
 
PRONDO, kujenga urafiki sio jambo baya, na mapenzi ya watu wanaoanza nz urafiki huwa mazuri na mara nyingi huwa na mwisho mzuri kama wanajitambua, ila tatizo wanaume mkikataliwa mnajenga chuki.

Tatizo wengi wakishakataliwa ndio urafiki unavunjika, ila mimi siwezi kuwa mshika pembe!
 
PRONDO, kujenga urafiki sio jambo baya, na mapenzi ya watu wanaoanza nz urafiki huwa mazuri na mara nyingi huwa na mwisho mzuri kama wanajitambua, ila tatizo wanaume mkikataliwa mnajenga chuki.

unataka kuniambia unikatalie halafu tuendelee kuwa marafiki?mwanaume hakuumbwa hivo.....kwanza kukataliwa tu najiona nimedhalilishwa aiseee!!halaf et niendelee kuwa mshika pembe?THUBUTU
 
Hii kali aisee ila wakati mwingine kwa 1,2 na 4 inabidi uwe siku moja moja wakati mnapokutana kabla ya kumtokea unakuwa unaongea nae huku umemshika mkono na kumpetipeti mgongoni kuona kama movement ya mkono wako kwenye mwili wake ataupokeaje kama hayupo huru na wewe atakuwa anaukwepa kiana (hii nayo ni kipimo kabla ya kurusha ndoano though vibuti huwa vipo tu)
 
Acha hizo zote sasa kuna hii yangu.
Nimekutana na mtoto mahali fulani, mtoto kanichangamkia na mimi bila kupoteza nafasi nikamchangamkia zaidi, tukaongea mengi kwa sababu mimi nilikuwa nimefikia hotel moja kali sana, ilivyofika usiku nikamwambia mimi naenda kulala ila ningependa tuende wote, bila hiyana akakubali. Na ukimcheka mtoto yuko vizuri, choo kipo vizuri, mguu ni tembo style na sio Flamingo style. Basi tulipofika room mimi nikaenda kuoga then naye akaenda kuoga tukapanda kitandani huku tukitaniana maneno ya kimahaba, sasa si mimi nikamvua boxer then ikachukua buti nikavaa, ile nataka kumchojoa kufuli ili niue, si akasema yeye hawezi kuduu na mimi eti it was just a company. Yaani mpaka asubuhi nikatoka patupu, dah siwezi kusahau ile pua niliyoangukia.
Sijawahi kuona mwanamke mwenye roho ya ukatili kama yule mweeee!
 
Hii ni noma mkuu, dah!

 
Ningetamani initokee lakini ndio basi tena!!
 
RICARDO KAKA umeuwa mbayaaa ha ha aha ha ha haaaaaaa.......
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…