Mwanaume Anaeweza Kuimba vizuri.

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habari;

Hodi humu ndani...nahitaji rafiki wa kiume anaeweza kuimba,nyimbo za mapenzi mwenye sauti nzuri na tamu,sitaki mwana hiphop coz nawakubali weusi tu!!

kama unajiamini unaweza kuimba RnB,unajua kubembeleza,umri kuanzia 23~29,uwe na mvuto hata kama kwa mbali.karibu PM tuelewane.

NB; rafiki tu wa kiume.
 

mwanamke mbaguzi wewe!
 

sasa si ukanunue sub-woofer tu.
 
Mmmmh huu urafiki .....akuimbie nyimbo za kimapenz.....sauti nzuri na tamu
Aiseee
 
Hehehe huu urafiki wa utata. Yaani umelenga anaejua kuimba nyimbo za mapenz wakat una mtu wako huko bongo muvi. Hahahaha

Jf is never boring aiseeee
 
jaman mbona kama hatuelewani!!.unajuaje kama nashida yangu nyingine ila nataka anaejua kuimba vizuri!

asanten mliokuja Pm ntafanya mchakato wa kuwasikiliza vizuri,na wengne karibu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…