Mwanaume amwoa mwanaume mwenzake bila kujua

Mwanaume amwoa mwanaume mwenzake bila kujua

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.

Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike.

Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake.

Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.
 
Watakuwa walikuwa wakitaka kufanya wanazima taa halafu wanajifunika blanket.
But papuchi je? Ina maana labla alikuwa ana jinsia mbili.
La sivyo ni shoga na shemale walioana.
 
Mradi ilikuwa inapenya tu mengine yote hakujali
 
Mwanaume mmoja mkoani Mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua.

Kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike.

Baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake wakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake.

Kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujiremba anajiremba hali iliyo mpelekea kutogundua.
 
Mwanaume mmoja mkoani mtwara amekaa na mwanaume mwenzake miezi minne bila kujua

kwa mujibu wa maelezo mahusiano yalianza baada ya kukosea namba wakafahamiana mpaka wakafikia maamuzi ya kuoana huku akijua ni wa kike

baada ya kufata taratibu wawili hao wakaoana lakini tatizo likaja wakati wa kujamiiana mwenzake hakawa kilasiku anasema anaumwa ikawa hivyo ndani ya miezi mitatu ndipo akaja gundua kuwa ni mwanaume mwenzake

kuhusu mavazi anasema mwenzake huyo huvaa kama mwanamke na kupika pia anajua hata kujilemba anajiremba hali iliyo mpelekea kuto gundua
Hahahaa... Mwanamke ana tofauti kubwa sana na mwanaume ukianzia
Vinyweleo
Matiti
Mihemo
Sauti (sio sana)
Umbile(sio sana)
N.k
Sasa hakugundua yote hayo au ni ujanja ujanja.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom