Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
Kama kawaida majirani zetu Kenya hawaishi vituko,Mwanaume mmoja uko Kenya,Kwale County.Jula Village amemuuwa mke wake kwa sababu alimuomba ampe simu aangalie na mke alipokataa,mwanaume akaamua kumuuwa.
Source NTV Kenya
Source NTV Kenya