Mwanaume amuuwa mke wake sababu amekataa kumpa simu asome message

Mwanaume amuuwa mke wake sababu amekataa kumpa simu asome message

You are right. Na watu wanaona sawa Tu kutukanana na wapenzi. Mkijua kugombana na kutofautiana kistaarabu maisha yanakuwa na amani. Abuser haachi hadi apate professional help. Sijui kwa nini hatuelewagi

To some people, violence defines love! SMDH!!!
 
Ndio maana huwa nashauri wanandoa wawe wanatumia redio kolu tu...

Tokea nianze kutumia redio kolu ndoa yangu imeimarika,huku hakuna watsap wala sms...ukiongea lazima usikike.

Ova.

hahahhaha umetisha kaka hyo plan nzur sana
 
Ndio maana huwa nashauri wanandoa wawe wanatumia redio kolu tu...

Tokea nianze kutumia redio kolu ndoa yangu imeimarika,huku hakuna watsap wala sms...ukiongea lazima usikike.

Ova.

Haaaaaaaa haaaaaaa daaaaah iyo nimeipenda komesha kabisa iyo daaah! Safi sana
 
Ndio maana huwa nashauri wanandoa wawe wanatumia redio kolu tu...

Tokea nianze kutumia redio kolu ndoa yangu imeimarika,huku hakuna watsap wala sms...ukiongea lazima usikike.

Ova.

Ova....ova
 
Nawashauri wanaume wenzangu tupunguze wivu kwani wake zetu na hasa wakiwa wanavutia hawawezi kukwepa kupewa maneno matamu hata kama ni ya uongo na wanaume wakware na hata humu wamo wengi hao wanaojidai wanajua kuridhisha wake za watu.Tutafuteni hela tu haya mambo mengine yatatutia wazimu tu!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Money Stunna nakwambia siyo Nchini Kenya tu, hata hapa Arusha Mjini yametokea majanga kama hayo hayo ya jamaa mmoja kumuua mke kwa sababu kama hiyo hiyo na kilichonishangaza huyo ndugu ameachiwa na akaja kumzika mkewe lakini alitamani naye awe amekufa kwani alizomewa mpaka na kutupiwa mawe na waombolezaji waliofika kwenye msiba hapa karibu na mtaa wa White Rose Bar kwa juu kidogo tu!
Majanga hayaishi jamani ulimwengu huu!

wote wana makosa..kwanini amnyime mumewe simu? kwanini mume amuue? kama angempa hiyo simu labda angepigwa tu lakini hasira ndo zilizomfanya achukue maamuzi kama hayo..lakini domestic violence sio kenya tu..hata hapa Tz ipo sana sana..kama mikoa kama mara na geita tunapata habari za matukio lukuki kila siku ya mauaji miongoni mwa wanandoa...
haya mambo yako kila mkoa na kila nchi duniani! yalikuwepo, yapo na yatakuwepo watu wajifunze kuwa waaminifu na wachague wanaume wenye akili juu ya maamzi sahihi sio unaliokota limwanaume babe au unaokota jike cheater kila kitu linaficha kwa nini msiuane!
 
Kosa lake ni kumpiga na kumuua mke! lakini pia kosa la marehemu ni kumnyima mme wake simu ili asome message! Nyinyi wachangiaji mnatazama upande mmoja tu, mke na mme wanashare vitu vingi hii mpaka uhai kwa asilimia kubwa wanashare sioni tatizo kusoma message za mke wako labda maamzi ndio tunatofautiana na huyo jamaa yeye kapiga mimi nisingepiga! pia huwenda hata kuomba kusoma message tunatofautiana! mm sina mke ni mpenzi lakini nasoma sms zake za simu, nina password zake za facebook, jamii forum n.k kikubwa hapa mimi maamzi ndio naona kakosea lakini kusoma message mke nah!!!!!! huwenda hata jamaa kuna mchezo aliushitukia!
Eti apewe adhabu na wengine wajifunze? mbona hamsemi ametoa adhabu na nyinyi wanawake mjifunze kucheat pia mjue mme na mke ni mwili mmoja mnapaswa kuona mwenendo wa mawasiliano ya mwenzio! ila maamzi jamaa kakosea pia huyu marehemu naye kukataa naona kuna kitu hivyo alikosea kukataa kumpa hata kama hakuna kitu na kama kuna kitu alikosea kumsaliti mwenzie hakujua amebebe pia uhai wa mme wake?
Simu kila mmoja ana ya kwake,mkitaka ku share simu na password za fb,Jf na nyinginezo mnakubaliana!
Huamki tu asubuhi 'nipe simu nisome msg' hata kama hamna cha kuficha sitakuelewa!!!
 
wote wana makosa..kwanini amnyime mumewe simu? kwanini mume amuue? kama angempa hiyo simu labda angepigwa tu lakini hasira ndo zilizomfanya achukue maamuzi kama hayo..lakini domestic violence sio kenya tu..hata hapa Tz ipo sana sana..kama mikoa kama mara na geita tunapata habari za matukio lukuki kila siku ya mauaji miongoni mwa wanandoa...

Kweli???!!!!
Mwanaume hana simu? Aikague; maana yake hamuamini mkewe. Sasa kama hakuna kuaminiana kuna ndoa hapo?
Unajua unapoanza kukagua meseji tayari ubongo wako umeshauaminisha kuna kitu, hivyo hata kama hakuna kitu; basi utakiona tu.

Lkn pia hakuna kosa lolote kwa wanandoa watu wazima ambalo adhabu inayofaa ni kupigwa licha ya kuua. Hivyo mwanaume ndio mwenye makosa. Huwezi lazimisha penzi, heshima au uaminifu kwa kupigana; na huenda kama kweli alikuwa ana cheat basi tabia ya mumewe ilimpotezea mapenzi (ambayo hayalazimishwi).

Naweza sema huyo mbaba ni mgonjwa wa akili.
 
Simu kila mmoja ana ya kwake,mkitaka ku share simu na password za fb,Jf na nyinginezo mnakubaliana!
Huamki tu asubuhi 'nipe simu nisome msg' hata kama hamna cha kuficha sitakuelewa!!!

Aisee nadhani huyo julius mahinya naye ni mbabe. Uaminifu haulazimishwi, ni tunda la mapenzi ya kweli, heshima, utu na kujaliana.
 
Last edited by a moderator:
Simu kila mmoja ana ya kwake,mkitaka ku share simu na password za fb,Jf na nyinginezo mnakubaliana!
Huamki tu asubuhi 'nipe simu nisome msg' hata kama hamna cha kuficha sitakuelewa!!!
Sure, ukirejea kwenye comment yangu nimesema pengine namna ya kuomba huwenda alishindwa kutumia busara lakini pia huwenda alitumia busara kuomba ila aliyekuwa anaombwa akakosa busara na mwenzie akashikwa na hasira! au walianza ugonvi labda juu ya fununu/uhakika alionao mme kuhusu mke kumcheat ila akataka ampruvie kupitia sms ndani ya simu yake mke akajibu jeuri jamaa akapata hasira!
Ushauri wangu kwako sasa wewe, mnashare na mwanaume mambo mengi kubwa zaidi ni namna swala zima la kufanya mapenzi linavyokua hapo namaanisha mnashera uhai akienda hata peku huko amekuathiri pia wewe, akimkubali mtu huko nje matatizo ya kiafya aliyonayo huyo mtu hayamfiki yeye tu hata wewe yamekufika so better kuwa wazi kwake kwa kila kitu naye pia kwako! unajua kama ni mme hakuna siri labda uwe unaishi naye ili mradi mimi binafsi mke ambaye siwezi gusa simu yake weka mbali na mimi!
lazima nijue uwezo wake wa kujibu sms za kutongozwa, uwezo wake wa kushinda vishawishi na hata namna anavyo nichukulia sasa utajuaje kama mawasiliano yake hujayahack au huruhusiwi kugusa?
 
Aisee nadhani huyo julius mahinya naye ni mbabe. Uaminifu haulazimishwi, ni tunda la mapenzi ya kweli, heshima, utu na kujaliana.
Sina ubabe ndio maana sijamuoa lakini ananipa hizo password maana alishapigwa darasa na hata hapa napoandika hiki akiingia kwenye account yangu ya jf anaoona haya maandiko kwani ana password! ila tunaheshimiana siruhusiwi kujibu mtu kwa niaba yake either kwa sms au kupokea simu!
mwanzoni ilimpa shida lakini sasa alishazoea, najua hulka ya kila shoga yake, jamaa zangu, majirani, marafiki zangu na watu wengi kupitia simu yake there unaweza mshauri rafiki gani ambatane naye, lakini pia ni kwa faida ya wote! rejea comment yangu utagundua mimi si mbabe nje na hapo wewe ni cheater ndio maana unauona huo ubabe!
 
Kweli???!!!!
Mwanaume hana simu? Aikague; maana yake hamuamini mkewe. Sasa kama hakuna kuaminiana kuna ndoa hapo?
Unajua unapoanza kukagua meseji tayari ubongo wako umeshauaminisha kuna kitu, hivyo hata kama hakuna kitu; basi utakiona tu.

Lkn pia hakuna kosa lolote kwa wanandoa watu wazima ambalo adhabu inayofaa ni kupigwa licha ya kuua. Hivyo mwanaume ndio mwenye makosa. Huwezi lazimisha penzi, heshima au uaminifu kwa kupigana; na huenda kama kweli alikuwa ana cheat basi tabia ya mumewe ilimpotezea mapenzi (ambayo hayalazimishwi).

Naweza sema huyo mbaba ni mgonjwa wa akili.
Kama hucheat kwa nini ukatae asiguse simu yako? na kama unahitaji kucheat kwa nini uolewe? kuoa/kuolewa hakuna anayelazimishwa kwa nini sasa usiwe mke huru? be free woman no one will disturb you with your cellphone dada! ila ukibeba uhai wa mtu lazima atetee nafsi yake!
 
money stunna :ungemfanya nn ?ucjikakamue hapa

Mimi siwez kufanya tukio la hivo ata kupiga kwenywewe siwezi. Mkuu marekani ukipiga mke /mchumba unapata ticket ya moja kwa moja kwenda JELA.

Hivo unakuwa unajiaribia CV
 
Sina ubabe ndio maana sijamuoa lakini ananipa hizo password maana alishapigwa darasa na hata hapa napoandika hiki akiingia kwenye account yangu ya jf anaoona haya maandiko kwani ana password! ila tunaheshimiana siruhusiwi kujibu mtu kwa niaba yake either kwa sms au kupokea simu!
mwanzoni ilimpa shida lakini sasa alishazoea, najua hulka ya kila shoga yake, jamaa zangu, majirani, marafiki zangu na watu wengi kupitia simu yake there unaweza mshauri rafiki gani ambatane naye, lakini pia ni kwa faida ya wote! rejea comment yangu utagundua mimi si mbabe nje na hapo wewe ni cheater ndio maana unauona huo ubabe!

Basi kama huna ubabe basi unajivika majukumu yaso yako, being a parent to a grown up. Na pia hujiamini kwamba mwanamke anaweza kukupenda wewe jinsi ulivyo.
Eti kujua tabia za ndugu zake au marafiki zake ili iweje? Waweza zibadilisha nazo? Unamchagulia marafiki, hujui kama una akili waweza nufaika kwa kila aina ya rafiki.

Narudia wewe ni mbabe uso jiamini. Mimi siwezi na sina tabia ya kukagua simu ya mume wangu as najua kanipenda mimi kaunga, na there is only one me in this whole world. Na nilishamwambia, siku akiona upendo umepungua kwangu, aniambie ili nimpe uhuru wa kuendelea na anayempenda.

Penzi ni utashi baba eeh. Halilazimishwi, na uaminifu ni tunda la mapenzi ya dhati. Kukaguana ni dalili ya kutokuwa muaminifu. Wanasemaje? ....aliwazalo mjinga ndilo humpatalo.....
 
unajivika majukumu yaso yako
Kwa akili yako Kaunga ni jukumu la mzazi kulinda uaminifu ndani ya ndoa? ni jukumu la mzazi kusoma sms za bintie/kijana wake? pole sana mapenzi huzaliwa, hukua, hudhofika na hufa: wazazi wa hayo mapenzi ndio mnapaswa kuyalinda, kuyajali n.k na si parents!
hujiamini kwamba mwanamke anaweza kukupenda wewe jinsi ulivyo.
Kumpenda mtu si sababu ya kukusaliti, labda tu nikwambie hakuna mapenzi nje ya upeo wa macho yako achana na misemo be smart, mapenzi ni uvumilivu Kaunga ulichompendea mme wako kuna wanaume wangapi wanacho na hata zaidi yake? kama ni fedha wanazo wangapi? kama ni sura wanazo wangapi? kama ni mapenzi wanayaweza wangapi? mapenzi ni uvumilivu Kaunga!!!! ukisha jua maana ya mapenzi basi huna budi kulinda penzi lako hii ni pamoja na kumshauri mwenzio, kumjali, kumsikiliza, kumprovia vitu na pengine kumuonyesha maana ya mwili mmoja!
Eti kujua tabia za ndugu zake au marafiki zake ili iweje?
ili unapomshauri juu ya jambo fulani kuhusu wao uwe na uhakika sio unabahatisha! pia mke narudia ni mwili mmoja!
Unamchagulia marafiki, hujui kama una akili waweza nufaika kwa kila aina ya rafiki.
ushauri si kumchagulia? ushauri aweza fuata au akakataa!
Narudia wewe ni mbabe uso jiamini.
Najiamini sana na yy ananiona si mbabe kwake laiti ningekuwa mbabe sijamuoa, tulikuwa marafiki, tumekuwa wapenzi na sasa ni wachumba muda wote huo angekuwa alisha achana nami so naamini alishalizika na tabia hii ya ubabe!
Mimi siwezi na sina tabia ya kukagua simu ya mume wangu as najua kanipenda mimi kaunga, na there is only one me in this whole world
Usiusemee moyo! wewe kaunga unadhani ni mrembo kuliko wanawake wote duniani? ww ni mwenye tabia njema kuliko wote duniani? wewe ni feature gani unique unayo mtu mwingine hana? hiyo feature uliyo nayo na unadhani ndio anakupendea akikutana na mwenye nayo zaidi yako anamchukua akikosa uvumilivu!
Na nilishamwambia, siku akiona upendo umepungua kwangu, aniambie ili nimpe uhuru wa kuendelea na anayempenda.
Kwa kauli hii huna mapenzi ya kweli juu yake! Wahenga walisema mwanamke mjinga huacha ndoa yake inavunjika ila mjaja huilinda na kuitunza
Halilazimishwi, na uaminifu ni tunda la mapenzi ya dhati
wapi nimekuonyesha nalazimisha penzi? kunipa tu password inaonyesha ni jinsi gani ananielewa ningemlazimisha out of her willing tusingekuwa pamoja!
 
Back
Top Bottom