Mwanaume amesusa pesa ya lottery

kuna watu wanajua kususa mama yangu

Amesusa mpunga... au na huko kuna watapeli kama wale wa M-pesa za magumash? Kunasiku nilishinda nogesha upendo tunaenda kwa bibi 1M, walivyonipigia niliwaka sana nikawaambia naenda kushtaki polisi, ndio baadae kunitaka radhi kumbe kweli nimeibuka kidedea, siku hiyohiyo jioni nikaona tu ...imethibitishwa...salio lako ni...cha kwanza nikahamisha kwanza ili kuona kama ni kweli ama wananichenjua. Toka siku hiyo nikaamini kumbe haya mazali yapo linaweza kukudondokea mtu yeyote.
 
d685636cb7d6806b4758ca4f489a93ff.jpg

Huyo hakuwa na bebe..
 
Amesusa mpunga... au na huko kuna watapeli kama wale wa M-pesa za magumash? Kunasiku nilishinda nogesha upendo tunaenda kwa bibi 1M, walivyonipigia niliwaka sana nikawaambia naenda kushtaki polisi, ndio baadae kunitaka radhi kumbe kweli nimeibuka kidedea, siku hiyohiyo jioni nikaona tu ...imethibitishwa...salio lako ni...cha kwanza nikahamisha kwanza ili kuona kama ni kweli ama wananichenjua. Toka siku hiyo nikaamini kumbe haya mazali yapo linaweza kukudondokea mtu yeyote.
hongera mkuu
 
Back
Top Bottom