Mwanaume ambaye wanawake wengi tunawapenda

Okrap

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2022
Posts
1,112
Reaction score
2,315
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare.

Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
 
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare

Huyo mwanaume labda mzee bakhresa au Aliko Dangote ndio anaweza kuku care bila kukufuatilia., 😀😀😀!

Waume za watu wataendelea kuwala hadi mwisho wa dahari nyie.
 
Sema mume wa mtu ukimpata naye unasahau shida kidogo 😂😂😂 kuliko ivi single boy
Shame be upon you my sister, yaani una furahia kuzini na mme wa mtu🤔🤔
👉Hujui kuna nuksi na mikosi
👉Laana kutoka kwa familia Inayo mtegemea
👉Magonjwa
👉Una watengenezea mazingira yapi ??, Wanao watako zaliwa🤔🤔
 
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Kafie mbele

Ndiyo nyie unanunuliwaV8,unaishia kugongwa na fundi gereji
 
Mamboo

Wanaume mna sifa nyingi ila kuu ni moja ambayo kila mwanamke anataman awe naye ni huyu hapa

Mwanaume ambaye anajua kucare
Mwanaume ambaye anajua kupenda yaani anajua nini mwanamke anataka naye ana mtimizia kwa wakati
Pia furaha mwanaume ambaye anampa furaha muda mwingi na pia hana masharti yakijinga
Hamjui nini mnataka na mtakuwa hivyo Hadi kiama, Mimi nafanya hayo kipindi naendelea kumnyandua Kisha nikifika level yangu ya consumption with saturation utajua hujui, uzwazwa na ubeijing mnatenganisha kwenye faida tu
 
Back
Top Bottom