Kama unayajua haya yote umekuja kutushirikisha ili iweje? Sio lazima kila siku u postKwa kweli kumfulia mwanaume hajakuoa ni kiherehere, Mimi hata kwenda anapoishi mwanaume staki kabisa, sembuse kufuliana aaargh
🤣 🤣 🤣 🤔 fafanua ndg. Si kwa sikitiko hiloMaskiniii
Anataka uende mara kwa mara ili aiweke. Ukiisha mpa ukanogewa njoo nishukuruJamanj...hatujafika kwenye kufanya hayo.mambo ...Hayo yalikua mazungumzo ya awali
Tuseme anakutunza,lila unachotaka unapata.Kuna mtu aliwah nitolea nguo nifue eti yaan alizikuta hivyo hivyo hivyo
Wanawake muache viherehere vya kuwafulia wanaume tena hajakuoa ,hakutunzi
Hujui maana ya forum au wajitoa ufahamu?Kama unayajua haya yote umekuja kutushirikisha ili iweje? Sio lazima kila siku u post
Sasa namwambia kwanini Haya Mambo yasifanywe tukisha oana... Yeye analeta ugomvi na kusema maneno kibao kuwa Sina msaada katika maisha Yake..Hana adabu huyo kijana ingekuwa wewe ndio binti yangu ningemweka ndani pumbavu.
Kwani yeye Ana offer Nini kwangu...maana mtu anademand umfulie umafanyie usafi ..yeye anakupa nini labda.
Kuna wanaume akikwambia umfulie yaani hata ubishi... Sasa huyu nae kajamba Nani
Anataka special treatment.. what does he have to offer?
This is a good question indeed. Apart from sex, ana add value gani kwenye hayo mahusiano?Unataka uwee unaendaa kupigwaa mpini na kusepa ausio???? Kama sex hata malayaa anaweza mpaa.. Una offer nini cha ziada kwake zaidi ya kupanua mapaja??
Dah, hajatoa mahari masharti magumu akikuoa ndio utakoma, Yani yeye anatafta house girl.Hana hiyo hela ya kununua mashine yule..kwanza namuona siyo my type..na alivyoniletea habari zakumfulia ndo kabisaa naona mawasiliano yakipungua taratibu.
Unacheza na guest tu,au siyo?Kwa kweli kumfulia mwanaume hajakuoa ni kiherehere, Mimi hata kwenda anapoishi mwanaume staki kabisa, sembuse kufuliana aaargh
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hana hela..ya kununua Wala sehemu ya kuiweka
[emoji23][emoji23][emoji23]Hana adabu huyo kijana ingekuwa wewe ndio binti yangu ningemweka ndani pumbavu.