Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

Woooyooooooo.......!!!

Nipo jijini Ilala kitongoji cha Gongolamboto.

Nshaandaa kikapu nasubiri kutunzwa...😅😜.
Heri yenu wa Mjini.
Sisi tupo huku Shamba Regent estate.
Wa-mjini sikuhizi mmetutenga sana sisi wa shamba, mwala vyenu pekeyenu;)

Btw, usihofu hilo Kapu laja jazwa muda si mrefu.
 
Mtu mke na mtu mme hukutana na kuanza mapenzi motomoto

Wakishazoeana ubunifu huisha, hakuna kujitoa kwa mwenzie kila mtu anamtegea mwenzie ndo awe na amsha amsha.

Na atayekuwa na kiherehere cha kuwa na amsha amsha ili mahusiano yasilege ataonekana msumbufu, mkabaji, hana shughuli za kufanya kazi kufatiliana na kubanana.....

Watu hubadilika kutokana na nyakati, mazingira, watu wanaowazunguka n.k.

Ukiona uko kwenye mahusiano na mtu na anakuheshimu huyo mtu mrejeshee heshima, nakwambia lazima mstaafu pamoja hata kama mapenzi yameisha.

Mpende mkeo...

Mpende mmeo.....

Mpende mwanao....

Alisikika Machinga mmoja akinadi mataulo ya mtumba maeneo ya Karume jijini Daslamu 😅.
:D :D :D :D :D :D Nimependa ulivyomaliziaa
 
Wanaume wa kiafrika ndo akili zenu zilipoishia..unafikiri ukishaoa mke umejipatia na mfanyakazi wa ndani, yeye huyo mume alikua amekamilika kwa lipi?? Sijaona sababu ya kuacha mke hapo na huyo msichana wa kazi ajiandae baada ya miaka kadhaa na yy atatafutiwa sababu., kama ninkazi wanawake kibao wanafanya kila kitu kwa waume zao bado wanaachwa na kufanyiwa ushenzi..bado tuna safari ndefu sana kwa mtindo huu Africa itabaki kuwa bara la giza milele na milele

Halaf cha ajabu hawa wanaume wanaoongea ongea amevunja ndoa yake na mikono yake mwenyewe anataka yeye apikiwe afuliwe afanyiwe majukumu yote ya mume ajabu muulize yeye kamnunulia lini mkewe hata chupi utasikia maisha ni kusaidiana mara na yeye ana kazi anunue mwenyewe, hapo analalamika hvo si ajabu wote wanafanya kazi na wote wanachoka kwa kiwango kile kile bado mtu ana thubutu kusema hafui mara hatandiki alafu zikija bili mwanaume mzima anaweka mezani agawane na mkewe nyie wanaume weusi mna shida jamani yani sijui mna akili za aina gani
mbona mwanaume kaongea vitu vya msingi sana ambavyo ata uko nchi za magharibi wanavizingatia? mfano kuna mahala kalalamika kua mkewe hana muda nae kabisa kuna wakati anahitaji faraja,kubadilishana mawazo na muda wake pia lakin vyote hivi amekua anavita kwa house girl, mke yuko busy na simu muda wote na ikifika weekend ni vikao na harusi
 
Wanaume wa kiafrika ndo akili zenu zilipoishia..unafikiri ukishaoa mke umejipatia na mfanyakazi wa ndani, yeye huyo mume alikua amekamilika kwa lipi?? Sijaona sababu ya kuacha mke hapo na huyo msichana wa kazi ajiandae baada ya miaka kadhaa na yy atatafutiwa sababu., kama ninkazi wanawake kibao wanafanya kila kitu kwa waume zao bado wanaachwa na kufanyiwa ushenzi..bado tuna safari ndefu sana kwa mtindo huu Africa itabaki kuwa bara la giza milele na milele

Halaf cha ajabu hawa wanaume wanaoongea ongea amevunja ndoa yake na mikono yake mwenyewe anataka yeye apikiwe afuliwe afanyiwe majukumu yote ya mume ajabu muulize yeye kamnunulia lini mkewe hata chupi utasikia maisha ni kusaidiana mara na yeye ana kazi anunue mwenyewe, hapo analalamika hvo si ajabu wote wanafanya kazi na wote wanachoka kwa kiwango kile kile bado mtu ana thubutu kusema hafui mara hatandiki alafu zikija bili mwanaume mzima anaweka mezani agawane na mkewe nyie wanaume weusi mna shida jamani yani sijui mna akili za aina gani
Nawe utakua una tabia hizo zilizomfanya mwenzako aachwe, ukiona mwenzako ananyolewa............

Ameibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe
 
Huyo mume anahitaji dish washer, washing machine, smart-kitchen!, si aseme tu kafuata hilo guu, hakuna masufuria, ugali katika law of attraction!!! Asimbambikizie tope mke wake wa zamani, kuachwa kunauma ila to be told you are responsible for such a mess is soo UNFAIR
Shangazi acha kudanganya mabinti wa watu

Wasije kuwa kama wewe
 
Back
Top Bottom