Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

Kwa akili hizi Still a mom ni vizuri ukaolewa kwetu Tarime . Vinginevyo zoea kuwa single mother.

I’m not a single mom boss..plus kuwa single mom sio dhambi, ni bora hao single mothers wanaoishi pekeyao kuliko kukaa na wanaume wenye akili kama nyie ilimradi uonekane una mwanaume kumbe ni wanaume hewa itoshe kuwatukana wanawake kuwaita single mothers wakati na nyie wenyewe mmelelewa na hao single mothers., tafuteni tusi jipya sasa
 
Defence mechanism, huna ndoa wewe usitundanye hapa, dunia imebadilikaaaa, mbona wanaume hawaachwi kuombwa hela ya matumizi chakula na mengineyo tangu uhenga ila kwa mwanamke dunia imebadilika....

Sent using Jamii Forums mobile app

Why would i defend myself with lies?? I’m not that desperate wewe..but you can think of whatever you want, kubishana na watu kama wewe ni kama kubishana na redio.. mm nakwambia nimeolewa wewe unasema sijaolewa na hunijui are you ok upstairs
 
Hata kama ulikuwa unabaki nyumbani tu ukipiga umbeya, huku mwanaume akihangaika huku na huko kutafuta maisha mazuri kwa familia, na wengine wakifanikiwa katika hilo, ikitokea mnaachana mnakimbilia kudai pasu kwa pasu!!! Mkiulizwa pasu kwa pasu kivipi wakati mali zote nimetafuta mimi, jibu lenu utasikia "Kwani hapa nyumbani si nilikuwa nafanya kazi zote; napika, nafua, nafanya hiki na kile wakati wewe upo kwenye mihangaiko!"

Hapa mnadai "wanaume mkioa mnadhani ndo mmepata mfanyakazi wa ndani"! Sasa hizo kazi mnazodai mlikuwa mnafanya na kwahiyo mpate pasu kwa pasu ni kazi zipi?! Hizi hizi zinazofanywa na house girls na hapa mkitamba kwamba "kwani mke ni mfanyakazi wako" au ni kazi zipi hasa?

Tatizo sio kazi za ndani tatizo ni hawa wanaume wanaolalamika hadi kuacha wake zao kisa hawapiki hawafui..hao wanaume wengi wao hawana hata vya kugawana pasu kwa pasu end of the day, ni hasara tu kuishi nao,. Mwanaume anaejielewa hizo Sio priorities kwnye maisha yake hayo utayasikia tu kwa hawa walalahoi na bahati mbaya ndo wamejaa kila kona
 
Hao wanaume hawana hata cha kugawana lakini kubali ukatae ndio hao hao wasio na cha kugawana ndio wanaoweka ugali mezani!! Ndio hao hao wasio na cha kugawana, majority ndio wanaohakikisha watoto wanavaa, wanaenda shule, n.k!!! NI hao hao wasio na cha kugawana majority wao ndio wanaohakikisha panapatikana mnapojihifadhi!!! NI hao hao wasio na cha kugawana ndio wanao-contribute zaidi kwenye mambo ya kifamilia!! NI hao hao wasio na cha kugawana ndio wanaohakikisha usalama wa familia huku nyie wengine hata mkiona jongoo tu ndani, mnatoka nduki!!! NI hao hao wasio na cha kugawana ndio wakati mwingine wanajikuta wanaingia kwenye madeni ya VICOBA ambayo hawafahamu hata chanzo chake!!!

Kwenye jamii zote, bado wanaume wana mambo mengi zaidi ya ku-attend for the family ukilinganisha na wanawake!!! Hata wewe hapo, assume mna kiwanja mahali na umesikia kuna mgogoro; utakachofanya ni kumwambia baba fulani aende akishatoka kazini na wala hutaenda wewe!! Kama mnamiliki magari, na ukasikia gari moja imepata ajali, mtakubaliana mwanaume ndo aende wakati wewe unarudi nyumbani!! Kama wote mpo kazini, na baba akapata taarifa kwamba nyumba inawaka moto, kuna uwezekano mkubwa akakimbia haraka kurudi nyumbani wakati kama taarifa hiyo ungeipata wewe, kuna uwezekano mkubwa ungempigia mumeo awahi kuna ajali ya moto!!! Na endelea kujidanganya kwamba eti "wanaume wanaojielewa hayo kwao sio priorities"! Sawa, hayo kwake sio priority, je wewe ni priority kwake?! Hivi si
 
nimecheka Sana kweli wanaume wasio na mbele na nyuma ndo vinara wa kulalamika mara kufuliwa si wanunue machine aisee.
 
Mwanaume mwenye majukumu yote hayo na anayatekeleza kwa ufanisi angalau wa 80% bado hana muda wa kuangalia nani anachati nani anafanya nn.. na ukishakuwa na mwanaume wa hvo automatically utamfulia utamfanyia kila kitu, tena kwa mapenzi sio kwa kujilazimisha..kinachoboa ni kwamba yeye hajui majukumu yake wala hajisumbui kutimiza angalau 20% halafu anataka wewe ndo uwe kama kibaraka wake, akikaa aanze kukutafutia sababu leo hujafua mara leo hujadeki which is really stupid., na hapo juu nimesema uyo mwanamke pengine hafanyi yote hayo kwasbb na yy anachoka ukite wote mnafanya kazi wote mnatoka asubui mnarudi usiku bado bili zikija mwanaume anaanza kushindana na wewe na bado huyo huyo alivokosa haya anasubiri umfulie usipofua anaoa msichana wa kazi akikuona umeweka kucha umependeza nalo ni kosa ukikaa ume refresh na simu nalo ni kosa.. sio kwa dunia ya sasa
 
Sio tuu naamini, bali ni uhalisia watu huchokana.

Sasa baada ya kuchokana wanafanyaje ndo shughuli huanzia hapo.

Visa, vitimbwi na visavisabina..... huishia kugombana na kutengana.

Heshima, utulivu na busara..... huzeeka pamoja.
Wengi wetu tunaoana bellow 35 yrs kwa wanaume/mwanamke kusustain for 20 plus yrs a head ni ngumu
 
Back
Top Bottom