Mwanaume aliyempa talaka mke wake na kumuoa mfanyakazi wao wa ndani huko Zambia

Heri yenu wa Mjini.
Sisi tupo huku Shamba Regent estate.
Wa-mjini sikuhizi mmetutenga sana sisi wa shamba, mwala vyenu pekeyenu;)

Btw, usihofu hilo Kapu laja jazwa muda si mrefu.

Aahahhahahaaaaa looh

Ndo ushaniiba hivyo yaani, nnavopenda makapu ya shamba....!!!😅😅

Sijui nihamie shamba huko R. Estate....🤨🤨😅😅😅
 
Mwanamke sio kijakazi na akisahau hukumbushwa yeye ni nani. Amezaa tayari nimtu aliyechoka kukulelea watoto wako.

Hivi wanaume hebu chukueni upande wetu.
Unabeba mtoto miezi tisa hiyo miezi tisa tu kuibeba ni kazi halafu uje uzae ukishampata mtoto umnyonyeshe umfanye alale hadi azoee dunia na mazingira sio kazi rahisi ndio maana mama hueshimiwa huletewa msichana wa kazi ili afue ,apike , aoshe vyombo na ikiwezekana aletwe mwingine kwa ajili ya usaidizi.
Maisha ya kulea sio kazi rahisi ila wa baba kusaidia ni kazi sana .
Wao wanakuja tu wanakulalamikia kama yeye alizaliwa na baba chakula kiko wapi .
Hajui siku nzima ulipitia nini kulea nikazi.

Ila kama uyaya sawa.
Wewe unamakosa maana miezi sita tu ndio unapumzika.
Ila kama huna yaya kulea nikazi .
Huyo bwana hana akili si amesema yule mke wa mwanzo alifanya hayo mwanzoni ukiwa na familia try to understand you are wife mlikuwa wenyewe utatunzwa but if ukiwa na mtoto kwa heri baba.
Ukiwa mwelewa tafuta kipoozeo mke asijue .
Aya Feminist.
 
Aahahhahahaaaaa looh

Ndo ushaniiba hivyo yaani, nnavopenda makapu ya shamba....!!!😅😅

Sijui nihamie shamba huko R. Estate....🤨🤨😅😅😅
Wewe si kutia shaka hata maramoja unakaribishwa wakati wowote🤓
 
na k hupewi ipasavyo .
Eti umeoa
*Bili zote za ndani zinakuhusu baba mwenye nyumba.

*Matatizo yote ya ndani yanayo husu pesa basi hutolewa na mwanaume.

*Mmeajiri mfanya kazi amsaidie mama kazi ila Cha ajabu msaidizi wa kazi ndio anafanya kazi zote Hadi za mwenye kazi .kazi ya mama ni kubweka bweka tu na kufuga makucha Kama jini . Na bado mshahara wa mfanya kazi anaulipa baba

*Na bado unyumba unapangiwa siku za Kula

*Matatizo ya watoto yote anayajua beki tatu .




Sasa hapa bwasheee umeoa au unafuga mtu kwa jina la mke.



Toeni nduki hiyo misukule inayo dhani ikichangia k katika mahusiano inazani imemaliza Kila kitu.

Kama Kuna mwanaume anafuga jitu la hivyo akapimwe mkojo na ubongo
 
sure Mkuu labda kuna sababu ambazo hawajaziweka wazi
Ni bora umwambie mtu nimekuchoka na hitaji kitu kipya na sio excuse ya mara kupasiwa, sijui hajaosha vyombo, mbona hvo vitu unaweza kuajiri mtu, wa Africa tuna mentality za kishenzi kuwa ukiwa na mke basi umepata mtumwa, kah
 
Wanaume wa kiafrika ndo akili zenu zilipoishia..unafikiri ukishaoa mke umejipatia na mfanyakazi wa ndani, yeye huyo mume alikua amekamilika kwa lipi?? Sijaona sababu ya kuacha mke hapo na huyo msichana wa kazi ajiandae baada ya miaka kadhaa na yy atatafutiwa sababu., kama ninkazi wanawake kibao wanafanya kila kitu kwa waume zao bado wanaachwa na kufanyiwa ushenzi..bado tuna safari ndefu sana kwa mtindo huu Africa itabaki kuwa bara la giza milele na milele

Halaf cha ajabu hawa wanaume wanaoongea ongea amevunja ndoa yake na mikono yake mwenyewe anataka yeye apikiwe afuliwe afanyiwe majukumu yote ya mume ajabu muulize yeye kamnunulia lini mkewe hata chupi utasikia maisha ni kusaidiana mara na yeye ana kazi anunue mwenyewe, hapo analalamika hvo si ajabu wote wanafanya kazi na wote wanachoka kwa kiwango kile kile bado mtu ana thubutu kusema hafui mara hatandiki alafu zikija bili mwanaume mzima anaweka mezani agawane na mkewe nyie wanaume weusi mna shida jamani yani sijui mna akili za aina gani
Duuuuh, nilijua umeandika cha maana

Kumbe upuuuzi mtupu
 
Wanaume hawana shukrani hata ujitume vipi ku cheat kuko pale pale tu na ka amenichoka heri aniache sio kutafUta excuse sijui dada wa kazi na blah blah
Jua majukumu yako full stop.....Kama usikubali kuingia kwenye ndoa baasi
 
Mtu mke na mtu mme hukutana na kuanza mapenzi motomoto

Wakishazoeana ubunifu huisha, hakuna kujitoa kwa mwenzie kila mtu anamtegea mwenzie ndo awe na amsha amsha.

Na atayekuwa na kiherehere cha kuwa na amsha amsha ili mahusiano yasilege ataonekana msumbufu, mkabaji, hana shughuli za kufanya kazi kufatiliana na kubanana.....

Watu hubadilika kutokana na nyakati, mazingira, watu wanaowazunguka n.k.

Ukiona uko kwenye mahusiano na mtu na anakuheshimu huyo mtu mrejeshee heshima, nakwambia lazima mstaafu pamoja hata kama mapenzi yameisha.

Mpende mkeo...

Mpende mmeo.....

Mpende mwanao....

Alisikika Machinga mmoja akinadi mataulo ya mtumba maeneo ya Karume jijini Daslamu .
Weee kasie unaamini kwenye kumchoka mtu au ni dhana tu kuwa hutokea?
 
Eti umeoa
*Bili zote za ndani zinakuhusu baba mwenye nyumba.

*Matatizo yote ya ndani yanayo husu pesa basi hutolewa na mwanaume.

*Mmeajiri mfanya kazi amsaidie mama kazi ila Cha ajabu msaidizi wa kazi ndio anafanya kazi zote Hadi za mwenye kazi .kazi ya mama ni kubweka bweka tu na kufuga makucha Kama jini . Na bado mshahara wa mfanya kazi anaulipa baba

*Na bado unyumba unapangiwa siku za Kula

*Matatizo ya watoto yote anayajua beki tatu .




Sasa hapa bwasheee umeoa au unafuga mtu kwa jina la mke.



Toeni nduki hiyo misukule inayo dhani ikichangia k katika mahusiano inazani imemaliza Kila kitu.

Kama Kuna mwanaume anafuga jitu la hivyo akapimwe mkojo na ubongo
Halafu wanawake wengi hasa hawa wenye ka unafuu ka maisha ndo wanaishi maisha ya hivi kabisaaa
 
Hahah sio ajabu nawe utapata wanaokuunga mkono na hizi hoja zako!
soma vizuri mstari kwa mstari utetezi wa huyo mume wala hajazungumzia maswala ya kununua chupi hapo!
mbona tunawahi kupaniki??
hii inshu imewatokea wengi sana ni basi tu nyumba zina siri nyingi mno!

HUYO JAMAA HUO NI UAMUZI BORA NA HUO NDIYO UANAUME
Kama mahakama ambayo mwanamke anajua kuwa inatoa haki, busara zinapatikana hapo akaikimbilia nayo imemuona boya tu
sisi ni nani hata tujipendekeze kuwa Jamaa nae ana makosa???

Majukumu ya mke kazini??
SASA HIYO NDIYO SABABU???
usitekeleze wajibu wako ktk ndoa!!!!

Mbona Makamu wa Rais
hivi unaijua hii nafasi kweli???
Yule mama Samia alishawaambia kuwa pamoja na nafasi yake hiyo ya umakamu
ila MAJUKUMU YAKE KWa MUME WAKE na Familia
YAPO PALE PALE

jifunzeni na mnayo mengi sana ya kujifunza
mnatafuta justification sasa!!!
Kuchat
Kufuga kucha (kwanza mwanamke yeyote aliyefuga kucha mikono yote miwili NI MCHAFU HUYO BALAA)
hebu waza anavyojisafisha na hayo makucha kama shetani
mkono mmoja ni sawa ila yote miwili????
Hahah

Badilikeni Jamani tunawependa sana na tunapenda ndoa zetu pia!
Hata uwaambie vipi, hawakuelewi
 
Habari yangu nzuri mkuu... I’m happily married nashkuru sana na nimeolewa na mwanaume anajielewa sana labda ndio sababu nashupaza sana shingo. Mume wangu amezaliwa na kukuzwa kwnye familia ambayo nikikwambia utaona kama ni imaginary family lakini amini usiamini ni hapa hapa bongo sio mzungu but he’s super smart nilichokua nakisema hapo juu pamoja na kwamba mke ni mlezi ulezi haumuhusu yeye pekeyake, huyo mwanaume mpaka anafikia kumpa talaka mkewe kisa hafui ni mwanaume mpumbavu sana.. nikatolea mfano kwamba si ajabu wote mke na mume wanafanya kazi lakini mume anachoangalia yeye ni kutimiziwa yake na ukite yeye majukumu yake anataka pia asaidiwe

Dunia imebadilika sana sikuhizi hakuna kazi za wanawake wala wanaume wala majukumu same way mnataka msaidiwe sijui kulipa school fees na kodi na mambo mengine na wewe inapendeza ukimsaidia mkeo ukikuta hajatandika tandika wewe mana hata wewe unalala hapo kama ukikuta hajapika pika wewe.. wanawake hawawezi kuzaa kwa uchungu at the same time wale kwa jasho, ila kama umeoa mwanamke anakutegemea kila kitu huyo hata ukimgeuza punda wako ni wewe na yeye makubaliano yenu tu
Minazani hujamuelewa mtoa mada, Kama mwanamke alikimbilia mahakamani....

Nabado mahakama ikamuona anahatia

Je? Unazani mwanamke hakupewa nafasi ya kujitetea na kusema yote hayo??...

Au mahakama ni kandamizi kwa mwanamkee???
 
Ni bora umwambie mtu nimekuchoka na hitaji kitu kipya na sio excuse ya mara kupasiwa, sijui hajaosha vyombo, mbona hvo vitu unaweza kuajiri mtu, wa Africa tuna mentality za kishenzi kuwa ukiwa na mke basi umepata mtumwa, kah
Sasa kama ishu ni kuajiri mtu hamna sababu ya kuoa kwa kweli...

Tuendelee kustareheshana maana mke kuoa kwetu ist a norm na kusudi ni ili mleane pamoja na watoto. Umlishe umvishe nae awe sehemu ya msaada katika maisha yako akupikie, akuweke nadhifu na ahakikishe mji na watoto wako salama.

A wife should make a house to be a home for the head of the family and the off-springs. Kama hayawezi hayo basi mke hatoshi katika nafasi yake.
 
Very stupid
Na wanawake wasipendeze??? Akitaka kuweka kucha napo inawakera halafu mahawara zenu wote huko nje wanaweka makope wanafuga makucha...kisa umemuoa ndo umfanye kama ajuza for what??! Yani nyie wote mliopanik Mungu amewapa wake wa kuendana na nyie hao wanawake muwashike sana sana siku akikuponyoka ulie na usage meno, makamu wa rais anatimiza wajibu wake kwakuwa labda na mumewe anatimiza ya kwake..nilichokuwa nakitolea mfano ni nyie wanaume wa kulia lia kusaidiana majukumu na wake zenu habari za hela zikija ndo unajifanya kama wewe kuwa responsible huwezi., ndo mana nikauliza hapo juu huyo mwanaume anaemuacha mkewe kisa hafui yeye alikua amekamilika kwa lipi?? Majukumu yake yote anafanya?? Nikaenda mbali zaidi kuuliza kama hata huwa anakumbuka kumnunulia mkewe nguo za ndani au anadhani ni wajibu wa nani??
Jamaa kajaribu kuchambua vizuri kabisa,ila wewe unajibu kwa hisia bila mpangilio.....

Mtu kaeleza very clear,wewe ,unaanza na habari za michepuko duuuuh....umekjbali kuolewa fanya yanayo kuhusu ,ukiona hayaendani na wewe acha sio lazima
 
Back
Top Bottom