hahahahahah ni kweli ila kabla hatujaweka lami barabara lazima tupitishe greda hivyo vitu vidogo vidogo ni kama kiongeza mwendo mkuuUnavyomnunulia hivyo vitu hakikisha mko room...
Oh!! Mtaumia sana
sio kirahisi hivyo mkuu; ng'ombe ambaye hunywi maziwa yake bora akafie mbaliBurebure tu
yaani unakuta mwanamke anataka vitu vingi na bado anaficha kpochi manyoya chake; sijui huwa wanawazaga niniMmmh hivi hao watu wasio na mishipa ya aibu kwenye nyuso zao mnawapata wapi???
Kwamba unataka kutuaminisha nini!!??Mmmh hivi hao watu wasio na mishipa ya aibu kwenye nyuso zao mnawapata wapi???
Siwezi kumwomba mtu mpaka anipe mwenyewe na yote sababu nimeumbwa na sura yenye haya.......uliza kingineKwamba unataka kutuaminisha nini!!??
Atajuaje kama una shida!!??Siwezi kumwomba mtu mpaka anipe mwenyewe na yote sababu nimeumbwa na sura yenye haya.......uliza kingine
Wako wengi mnoMmmh hivi hao watu wasio na mishipa ya aibu kwenye nyuso zao mnawapata wapi???
PoleniWako wengi mno
Ndio maana ni mwanaume..tena wengine hata haujaonana tayari anakuita dear juwa lazima uigharamikiePoleni
Hamjaonana unaitwa dear???? Hahahahahahahahaha hii kaliNdio maana ni mwanaume..tena wengine hata haujaonana tayari anakuita dear juwa lazima uigharamikie
Swali zuri mkuu.Atajuaje kama una shida!!??
Kweli bro hakuna kitu cha bure. Yaani no free lunch. Hakunaga urafiki Kati ya mwanamke na mwanaume bila mapenzi otherwise mwanaume utaumia zaidi bila mapenzi hasa utatakiwa kutoa zaidi kuliko YeyeNimekuwa nikikutana na wadada wengi wanapenda kuniweka friend zone ila nimekuwa nawatolea nje au kuwatongoza na kama akinikatalia nampotezea kabisa maana sijawahi kuwa na rafiki mwanamke ambaye ni potential kivile yaani anaweza akasema nina hiki na wewe weka hiki mezani tusongeshe maisha; au nikawa friend na mwanamke then akawa yeye ndo ana add value kwangu sijaliaona hili,
ila inakuaje mdada unakuwa naye akiwa na shida za hapa na pale anakutafuta ila ukiomba mechi anaanza kutolea nje mara hunieshimu/mimi ni rafiki tu/nina mtu wangu...wakati anajua fika hakuna anachoweza nisaidia zaidi ya kunipa mzigo; na mbaya zaidi sijawahi kufikiria kumuomba msaada mwanamke na sijui ni lini itatokea zaidi ya kuomba naniliiii..
nimesema hii kwa sababu kuna dada wanapenda kueleza shida zao kwetu wanaume ila tukigeukia kutaka mahitaji yetu mnaanza kutuzungusha... sisi wanaume pia tuna ndugu/wazazi na marafiki wa kuwasaidia ; yaani unakuta mtu hata hashangai ninulie luch basi unatoa; weekend nitoe out unamtoa; bure bure bure tuuuuuu.. ni bora kama umpendi mwanaume usitake mali zake wala mda wake maana unampotezea mda wake.
Mkuu njoo nikupe lunchMmmh hivi hao watu wasio na mishipa ya aibu kwenye nyuso zao mnawapata wapi???