Mwanaume akijua huna kazi anakuacha. Najiuliza kwanini?

Men are not stupid.

Yaani ni sawa na kubeba bangi lililoandikwa 'I am a LIABILITY'

Kuwavumilia Wanafunzi hiyo inaeleweka, at least there are prospects of making something out of themselves.

Sasa wewe, shule haupo, kazini haupo. Akutake nani matangazo ya shida na vizinga nje nje?
Nyie hamupendi wadada mnapenda title zao.
 
Kwanza kama demu hana kazi yoyote na hasomii means Muda wowote anakuwa yupo free.. Lazima chance kubwa ya kufanya umalaya inakuwepoo.. Maana anamahitaji mengi lakini hakuna mtu mmoja anajitoa kumtimiziaa.. hapo ndo inabdi awee anauza reja rejaa ili kukidhi mahitajii...!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua if huna kazi sio shida kwawale wanaojitambua wanakuwezesha ili usiwe lelemama wanakufungulia kakitu kabiashara ila kwa wengine kazi ndio advantage kubwa.
Tunatofautiana.. Hao ni aina ya wanaume wanaopenda mteremko, anataka kazi ya mwanamke imnufaishe na yeye. Kwangu mimi mwanamke asiye na kazi ndo priority ya kwanza maana najua naweza kumshape vile nataka mimi!!
 
why hako kabiashara usijifungulie mwenyewe.. au wazazi wako wakufungulie... unahitaji ufunguliwe na mwanaume anaekutongoza..

binafsi nina amini ni rahisi sana mtu kumuongezea mtaji kama amemkuta ana biashara yake.. kuliko kumpa mtaju wa kuanzia biashara... maana hiyo inaonesha mtu yupo serious..

tatizo watu wengi hawajui maana ya neno kazi... wanajua kazi ni ile ajira inayokupa mshahara mwisho wa mwezi tu... hata kuuza maandazi yako kibarazani nayo ni kazi

Unajua if huna kazi sio shida kwawale wanaojitambua wanakuwezesha ili usiwe lelemama wanakufungulia kakitu kabiashara ila kwa wengine kazi ndio advantage kubwa.
 
Why za mwingine zikuume?

Woman, dont you have some sense of pride? Utaliwa vibaya ujue?
Wewe unamume unamuonea huruma ila akiwa na kina halima anachunwa kisawa sawa .
So ni bora tokea home umuweke sawa kila siku wakina amina wakose chakuhongwa.
 
why hako kabiashara usijifungulie mwenyewe.. au wazazi wako wakufungulie... unahitaji ufunguliwe na mwanaume anaekutongoza..

binafsi nina amini ni rahisi sana mtu kumuongezea mtaji kama amemkuta ana biashara yake.. kuliko kumpa mtaju wa kuanzia biashara... maana hiyo inaonesha mtu yupo serious..

tatizo watu wengi hawajui maana ya neno kazi... wanajua kazi ni ile ajira inayokupa mshahara mwisho wa mwezi tu... hata kuuza maandazi yako kibarazani nayo ni kazi
Sasa kunawanaume ukiwaambia unakabiashara kako wanakublock kabisa kisa unayo.
Wanaogopa wasikuongezee mshiko ili biashara iwe kubwam
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom