Mwanaume akijua huna kazi anakuacha. Najiuliza kwanini?

Pole sana,inaonekana wew n mhanga wa hilo jambo,shukuru amekuacha mapema maana hakufai,mwanaume kama kweli amekupenda na hauna kazi basi yeye anakuajili kwa kukupa biashara ili nawe uchangie kipato cha nyumbani(boss n mmeo),wengne wanapenda wake zao wawe wajasiriamali na sio waajiliwa,utampata mwenye hayo maono keep it up(kizungu nam nikijua),kama umeshindwa kunywa chai kwa sababu amekuacha jizarau
(NGOJA NIMALIZIE CHAI LABDA NIKISHIBA NTAKUSHAURI VINGNE)
Point hizoo
 
Men are not stupid.

Yaani ni sawa na kubeba bango lililoandikwa 'I am a LIABILITY'

Kuwavumilia Wanafunzi hiyo inaeleweka, at least there are prospects of making something out of themselves.

Sasa wewe, shule haupo, kazini haupo. Akutake nani matangazo ya shida na vizinga nje nje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom