Mwanaume Abakwa na Wanawake 10 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanaume Abakwa na Wanawake 10

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by X-PASTER, May 31, 2011.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mwanaume Abakwa na Wanawake 10

  Kijana mwenye umri wa miaka 17 wa nchini Papua New Guinea amelazwa hospitali akipatiwa matibabu baada ya kubakwa genge la wahuni wanawake wapatao 10.

  Kwa mujibu wa kamanda wa polisi wa Southern Highland, nchini Papua New Guinea, Teddy Tei, kijana huyo mwenye umri wa miaka 17 alikumbana na zahama hilo siku ya ijumaa wakati alipovamiwa na kundi la wahuni wanawake wapatao 10.

  Wanawake hao wakiwa na visu walimshambulia kijana huyo kabla ya kupokezana kumbaka kwa zamu.

  "Hii ni kesi tunayoifualia kwa ukaribu zaidi, tunawatafuta wanawake waliofanya unyama huu", alisema kamanda huyo wa polisi.

  Taarifa ya polisi ilisema kwamba wanawake 10 wakiwa na visu walimshambulia kijana huyo na wanawake wanne kati yao walimuingilia kinguvu kijana huyo.

  Kamanda Tei aliongeza kuwa kijana huyo aliwahishwa hospitali kwa matibabu zaidi.

  Kijana huyo ambaye jina lake limewekwa kapuni, anafanyiwa uchunguzi ili kujua kama ameambukizwa magonjwa ya zinaa au la.

  "Ugonjwa wa ukimwi ni tatizo kubwa hapa Papua New Guinea, ninahofia huenda baadhi ya wanawake waliombaka huenda wakawa ni waathirika", alisema Kamanda Tei na kuongeza.

  "Nimekuwa nikiwaonya wanawake wawe waangalifu sasa inanibidi nianze kuwaonya na wanaume nao wawe waangalifu mitaani".

  Yawezekana habari hii ni ya zamani, lakini ni bora kukumbushana na kuwataadharisha Vijana wetu wa Kiume nao wawe na taadhari, yasije yakawakuta yalio mkuta mwenzao!
   
 2. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Mbona wengine hatukumbwi na mazali kama haya....
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,152
  Trophy Points: 280
  huyo kijana ni rijali wa nguvu. Mtarimbo ukilala doro unabakwaje?
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hilo ndo swali la dolari milioni moja!
   
 5. The Mockingjay

  The Mockingjay JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 380
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hii imekaa ki-april fools day. Unless walimfanyizia kinyume kutumia vifaa vilivyomuumiza hadi kupelekwa hospitali.
   
 6. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,348
  Likes Received: 6,695
  Trophy Points: 280
  ni kipi hasa kilichopelekea kulazwa hospitalini!?kubakwa au maumivu ya kushambuliwa?!maanake kama ni kubakwa sidhani kama aliumia kihivyo,watu wenyewe wanne tu!!!
   
 7. Kobello

  Kobello JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Feb 20, 2011
  Messages: 5,688
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Dah! jamaa ana bahati sana
   
 8. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  ha ha ha ha kumbe kwa wengine hii ingekuwa raha eh?
   
 9. f

  fimbombaya Member

  #9
  May 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 47
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  inawezekanaje mwanaume kubakwa!ilisima
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,345
  Likes Received: 19,529
  Trophy Points: 280
  zali la mentali hili aisee
   
 11. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2011
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kulazwa hospitali ni kwa sababu ali-overdo! hahahahaa.......!
   
 12. D

  DURACEF JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 244
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Duh huyu kijana kifaru,watu kumi?watu mmoja tu hawamuwezi,ila aombee wasiwe na ngoma yani atakuwa amechota strain za virus za aina zote
   
 13. D

  Dina JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 2,824
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Mwanaume anabakwa? Au yeye alianza kumbaka mmoja wao ndio wengine wakajiunga?
   
 14. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mwanaume gani akubake wakati unatoa bure....
   
 15. Evmem

  Evmem Senior Member

  #15
  May 31, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Eti???? siamini:mod:
   
 16. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Sipati Picha au walimnywesha dawa ya kuhakikisha bendera haishuki mlingoti? Kama wote waliingia basi alitaka mwenyewe kwani nijuavyo ukiwa katika tukio la mtafaruku huyu jamaa yetu hujificha kabisa huwa hapendi taabu..
   
 17. Dreamliner

  Dreamliner JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2011
  Joined: Jan 17, 2010
  Messages: 2,034
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Jamani amebakwa mboona hamuamini? Siku ikikutokea, ndo utaamini!!
   
 18. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Makala ya msingi inaeleza hao wamama walikuwa na visu, hivyo yaweza ikawa amelazwa tokana na majeraha ya visu ati

   
 19. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  njo mtaana kwetu kuna wabakaji majike
   
 20. Mulhat Mpunga

  Mulhat Mpunga JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 25,481
  Likes Received: 12,757
  Trophy Points: 280
  mhmhmhhh labda hakubakwa aliishiwa nguv make kitu kikilala labda uchomekee kama shati kikipata moto kinashtuka
   
Loading...