YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,908
- 51,904
yeye kajificha as if hatazunguka nchi zima!!! Hiyo kamati na yeye yumo ale hela za ruzuku!!! Atazunguka kama mkuu wa chama!! Katengeneza ulaji.Kila laheri.
yeye kajificha as if hatazunguka nchi zima!!! Hiyo kamati na yeye yumo ale hela za ruzuku!!! Atazunguka kama mkuu wa chama!! Katengeneza ulaji.Kila laheri.
Wang'wise tuwekee ya CCM hapa tuopne basi! Nilimsikia Slow slow anasema wameshamaliza kuitengeneza! Na mwaka huu unagombea jimbo gani?Ilani nzuri yenye SMART Objectives, ni mwanzo wa ushindi.
Hongereni ACT.
P
Mgombea huteuliwa na vyama, kinachofanyika sasa ni kutangaza tuu nia. Mimi pia natangaza nia, wapi subiria kipenga kipulizwe.Na mwaka huu unagombea jimbo gani?
Ila ng'wanangwa ukienda kwa wazee wa kuvua gamba huvuki kwenye mchujo!Mgombea huteuliwa na vyama, kinachofanyika sasa ni kutangaza tuu nia. Mimi pia natangaza nia, wapi subiria kipenga kipulizwe.
P
İs it perfect time to you for TanzaniansMgombea huteuliwa na vyama, kinachofanyika sasa ni kutangaza tuu nia. Mimi pia natangaza nia, wapi subiria kipenga kipulizwe.
P
Zitto ajitaidi kabila maarufu la upinzani lisimtawale. Maana wengi wanapenda upinzani lakini, usiwe umejaza kabila moja kwy uongoziChama kikuu cha upinzani ndio hiki sasa
kiko systemati and very strategic
Go Zitto go ACT
Hata mimi nashangaa.Mnataka kushiriki kampeni za uchaguzi kwani Corona imeisha?
Bi Singano kufuata njia ya Prof Kitila wa CHADEMA. Mark this thread?hongera bi Singano and all the best.
Uyo nondo ungemtoa hapo mkuu,alafu nikushauri tuu uyo kijana mwangalie Kwa makini siku moja atakuvua nguo,si kijana wa kuaminika sana,siku zote ogopa vijana ambao wanatafuta umaarufu Kwa njia youote Ile kama uyo nondo,nakupa tuu taadhariNdugu Wananchi
Katika kuhakikisha kuwa Chama chetu cha ACT Wazalendo kinakuwa na Ilani ya Uchaguzi yenye majawabu ya changamoto za nchi yetu, nimeunda timu yenye wanachama wa ACT Wazalendo na Wataalamu (Professionals) ili kuchambua maoni ya Wananchi yaliyokusanywa nchi nzima wakati wa “Listening Tour” na kuandaa Rasimu ya Ilani ya mwaka 2020 .
Timu hii ya Ilani ya ACT Wazalendo kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2020 itaongozwa na mwanataaluma ndugu Mwanahamisi Singano na Sekretariat yake itakuwa chini ya ndugu Idrisa Kweweta ambaye ni Katibu wetu wa Sera, Utafiti na Mafunzo. Wajumbe ni timu hii ni wafuatao
1. Emmanuel Lazarius Mvula - Wakili na Mtaalam wa Haki za Kijamii
3. Dkt. Elizabeth Benedict - Mtaalam Sekta ya Afya
4. Godluck Mushi - Mtaalam Sekta ya Fedha
5. Ismail Jussa Ladhu - Mjumbe wa Kamati Kuu
6. Abdul Omary Nondo - Mwenyekiti, Ngome ya Vijana ACT Wazalendo
7. Dkt Janeth Fussi - Katibu, Ngome ya Wanawake ACT Wazalendo
8. Mwanaisha Mndeme - Katibu, Ngome ya Vijana ACT Wazalendo
9. Edgar Mkosamali - Katibu, Idara ya Bunge na Baraza la Wawakilishi ACT Wazalendo
Rasimu hii ya Ilani itakayoandaliwa (pamoja na ile ya Zanzibar) zitafikishwa kwenye Sekretarieti, Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama ili kuidhinishwa. Naitakia timu hii kila la kheri katika utekelezaji wa majukumu yao haya.
Kabwe Z. Ruyagwa Zitto
Kiongozi wa Chama, ACT Wazalendo
Mei 23, 2020
View attachment 1457298
Nilitegemea Mwenyekiti wa ACT au Katibu Mkuu wa ACT ndio wangehusika na uundwaji wa hiyo Kamati ya Ilani ya Uchaguzi 2020.
Sasa Ndugu yangu Zitto napata ukakasi kidogo na namna ACT wanavyotenda kazi zao.
Mwisho pamoja na yote lakini nitoe pongezi zangu za dhati kwani huu ni mwanzo mzuri.