Mwanasiasa yupi tz, anafaa tumpatia tuzo mwaka 2010?

POMPO

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
6,690
2,400
Wanaharakati JF!
Umeshawahi kujiuliza ni mwanasiasa yupi, mpenda Aman na Maendeleo, Mtanzania ambae anafaa tumpatie tuzo ya ''Mwanasiasa Bora 2010'', kutokana na mchango wake binafsi kwa maendeleo ya jamii kupitia duru za kisiasa!
Ok toa jina na sifa zake...For Great Thinkers Only.
 
Nampendekeza Diwani wa Chedema kule mkoani Mara aliyekutwa na silaha inayomilikiwa isivyo halali na bado chama chake wakakomaa bila kutamka kitu huku wakiwa mabarabarani kushutumu wenzao kumbe wanaishi na jambazi!
 
Hiyo tuzo inaitwa "tuzo ya mwanasiasa bora au"?
hapa tupo kwenye poll ya organisation flani inayotaka kutoa tuzo au
ni mawazo tu ya kutaka kujua ni mwanasiasa yupi bora?

una wakilisha nani?kua specific kidogo,...
hata hivo jibu lina julikana,
 
Kama unayaaandika haya kutoka moyoni na kwa great thinking nilidhani kabla ya kufikiaria kumpa hilo taji huyo diwani basi priority tuwape kina RA,Chenge Loawasa.

Hawa wanamiliki silaha kihali lakini bado ni majambazi hatari kuliko huyo ya chadema.

Nasema hivi hivi sababu mfano vile vijsenti vya chenge vinngeweza kuokoa watoto wangapi ambao wanshindwa kuoana bdya yao5 yrs tanzania nzima. Ujambazi wa wa CCM unaathiri Tanzania nzima. Huu ujambazi wa diwani wa musoma hauna level ya taifa.

Upo hapo
 
Haya baba kila kona uko.....inaelekea unalipwa kwa dollar wewe

Back
Top Bottom