Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

Mwanasiasa bora kijana 2012 Tanzania

Jamani kumbukeni pia Nape na mwigulu na william malecella na wenyewew sio mbaya kama mtawachagua then mwisho tutaconclude vizuri na kumtangaza mshindi pasipo ucakachuzi wowote.
 
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.

Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.

Mkuu hapo kwenye red tusubiri hadi mwezi ujao.
 
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.

Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.
Nijuavyo mwaka mpya wa serikali unaanza tarehe 1 Julai
 
Hivi Magamba huwa wanatembelea humu wikiendi? Just curious!! Waje wajionee na wengine wajisajili leo ili wapige kura!!! Halafu majina watakayopigia kura tuyavue nguo hadharani! Inapendeza!
 
Sijakubaliana na huu utaratibu unaotumika kumpata mwanasiasa bora wa Tanzania Jf.
 
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.

Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.

Mh. Ridhiwani Jakaya Mrisho Kikwete.
 
Back
Top Bottom