Kyindokyakombe
Member
- May 1, 2012
- 95
- 96
TUNDU LISU mwanzilishi wa HOJA ya kutokuwa na IMANI na WAZIRI MKUU.
Sijakubaliana na huu utaratibu unaotumika kumpata mwanasiasa bora wa Tanzania Jf.
kasome matokeo ya mjengwablog hayabadilika
Nahisi hali ya hewa imechafuka, tumbo langu linavimba!!
Sugu,Raisi wa Mbeya
Tundu Lisu sio kijana!
Mbeya tunamjua raisi moja tu,JK
Leo ni tarh 2/6/2012, na kwa serkali ni mwaka mpya 2013.
Naomba upige kura yako kwa kutaja jina la mwanasiasa kijana ambaye ni bora ktk kipindi hiki cha miez 6 (nusu mwaka) mpaka sasa.
Karibu kwa kura maana kura yako itamotivate viongozi kutekeleza majukumu yao na itatoa tathmini ya jinsi wanavyokubalika ktk jamii mpaka sasa.
Raya hamisi