mtoa maada ungeweka sawa maada yako waliokuwa ndani ya bunge au wasiokuwa wabunge na performance criterion zako km kuzindua matawi ya vyama vyao, kufanya mikutano mbalimbali ya kujituma kuibua hoja nzito za kitaifa maana kuna watu hapa wako very safe kwa serikali sisi hatuwezi kuwakonsider kuwa bora kwetu, kuna waoga wasioweza hata kumuattack hata mtendaji wa kata nao utashangaa wanapewa ubora hapa mimi nadhani anayeweza kuwa bora kwangu ni yule ambaye hakubaliki upande wa serikali ila anakubalika kwa watu walalahoi ni muwazi haogopi anajenga chama chake na ni mpigania mabadiliko hana zaidi ya miaka 35 hebu weka sawa kwanza halafu tupige kura ikibidi orodhesha waliopendekezwa kama lema,zitto ,sugu,filikunjombe
mnyika, heche ili sasa kura ipigwe tupate matokeo