Jameel2013
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 824
- 762
Warudi shule wakapate elimu yA sheria zA barabarani wanauwa watu na kuwapa ulimavu watu
Ningekuwa amri yangu ninge weka utaratibu wa madereva wote wA kuwa na leseni yA udereva inayo kuwa na points (especially bus na lorry ) ukifanya makosa barabaran zinakatwa point na serikali ingeweka taratibu uwezi endesha bus kama huna points zilizo kamilika
Rudi shule na fanya practical upya
Wange nyooka hawa madereva.