Hiyo ada hawalipi wao wanalipa matajiri wao waliowaajiri.Kama kulalamika na kugoma wangegoma waajiri ambao wanawajibika kuwasomesha na kuwalipia.Huu mgomo umechochewa na wanasiasa ni kweli kabisa.
shukran,jf ilianza kuporomoka pale tu ilipowaruhusu wanywa viroba wa act kuingiza mada za kijinga kama hizi.
Hii inahusu madereva wa mabasi tu kwenda kusoma au dereva yeyote hata mwenye private car? Halafu matajiri watawalipiaje ada wale madereva binafsi
Weka Ushahidi please!Haujawafahamu vizuri waajiri wa nchi hii. Wengi waliopelekwa shule na waajiri kipindi cha nyuma leseni zilivyokuwa zinabadilishwa waliishia kukatwa mishahara yao mpka wakamaliza deni.
Hakuna dereva wa basi asiyekuwa na mkataba.Ni sheria.Matajiri wanawalipia hadi gharama za ku-renew driving licence na kuwapatia mafunzo NIT yanayotakiwa kisheria.
Nunua basi lako kajaribu kuliingiza barabarani halafu uwe na dreva ambaye hujaandikiana naye mkataba uone kama litaruhusiwa na kupewa leseni ya njia.
Ukweli ni kua mikataba iliyopo sumtra sio yamadereva wanaoendesha vyombo hivyo
Hiyo ada hawalipi wao wanalipa matajiri wao waliowaajiri.Kama kulalamika na kugoma wangegoma waajiri ambao wanawajibika kuwasomesha na kuwalipia.Huu mgomo umechochewa na wanasiasa ni kweli kabisa.
Wadau hii imekaaje,madereva wetu wanataka kugoma kisa wameambia warudi shule wakajifunze zaid kuhusu udereva,mmh wabongo bhana migomo mingne haina maana.
Warudi shule hao upuuzi hatutaki kila kukicha wanachezea roho zetu kama vitenesi. Kwani huo weledi watakaopata huko shule si ni kwa manufaa yao?
Nashukuru kwa taarifa nitazifikisha kwa mkurugenzi mkuu wa Sumatra Gilliard Ngewe azifanyie kazi.Afanye ukaguzi wa nguvu kwa ushirikiano na mamlaka zingine kama Traffic kuhakiki hiyo mikataba na ikibainika matajiri walidanganya magari yao yafutiwe leseni za usafirishaji.Nashukuru tena kwa taarifa.
Unampelekea taarifa kwanihajui? Anajua sana kwa taarifa yako mikataba na leseni zinapatikana hapo hapo sumatra , ukitaka leseni unaenda tu na copy ya card ya gari na pesa basi vingine unapata hapo hapo
Kufuta leseni itayahusu mabasi yote tz hivyo hautaondoa tatizo, hiyo ni sawa na polis walivyoshindwa ondoa dereva daladala wasio na lesen barabarani jijin dar. 90% yao hawana leseni kabisa na walio nazo si zakuendeshea daladala ukisema uwakamate hakutakua na daladala barabarani, unafanyaje unawaangalia tu maaana tatizo lilianza polepole huku ukiliangalia, kubali ukatae huo ndio ukweli TZ zaidi ya uijuavyo
Wadau hii imekaaje,madereva wetu wanataka kugoma kisa wameambia warudi shule wakajifunze zaid kuhusu udereva,mmh wabongo bhana migomo mingne haina maana.
Nakama hauamini fanya uchunguzi mdogo traffic officer akikamata daladala angalia kama anaomba leseni ya dereva maranyingi anapewa tu kadi ya gari si lesen ya dereva maana hawana au wenye nazo haziruhusu kuendesha daladala
Hujui unachoongea kunya kalale
Ungeiweka kapuni na hii habariKuna jamaa mwanasiasa jina kwa kapuni (sababu ya sharia mupya) anawafadhili ili kuisumbua serikali
(picha nayo kapuni.)
Wameandaa na wapiga mawe.
Halafu tunalalamika ajali nyingi zinasababishwa hususan na madereva wa mabasi na madaladala, wanaambiwa warudi shule hawataki.
Anaeunga mkono huu ujinga ikotokea ajali ya mabasi asilalamike.
Acha uongo wewe na kujifanya mjuaji, unapoomba leseni sumatra unatakiwa kupeleka mkataba wa kazi na leseni ya dereva wako, mkataba mmoja unaweza ombea leseni ya magari hata kumi na dereva mwenyewe ni wewe mwenyewe mmiliki.mm nina daladala tatu mkataba nilioombea mmoja na leseni ni moja na dereva ni mm mwenyewe.....au unaweza mueka mwanao au mshikaji wako
Ukweli ni kua mikataba iliyopo sumtra sio yamadereva wanaoendesha vyombo hivyo