BarakaJr
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 289
- 78
Wadau hii imekaaje,madereva wetu wanataka kugoma kisa wameambia warudi shule wakajifunze zaid kuhusu udereva,mmh wabongo bhana migomo mingne haina maana.
Usidandie jambo kama hujui kinacholalamikiwa ni vyema kunyamaza,Mambo yanayotufanya tugome ni zaidi ya hilo la kusoma.Na hii ni kutokana na serikali kuziba masikio kwa muda mrefu