Ekamenya
Member
- Nov 29, 2013
- 41
- 13
Kina zitto ndo walikuwa wa kwanza then kina Tundu wakafuata.zitto na kundi lake WAFURUSHWE uanachama
Kwani siku 14 zinaisha lini jamani.?
Kina zitto ndo walikuwa wa kwanza then kina Tundu wakafuata.zitto na kundi lake WAFURUSHWE uanachama
Wengi wanamchukulia ZZK kuwa ni msaliti na kwamba anapewa nguvu na ccm. Hiyo si kweli wakati mambo haya ya waraka yanaibuka kama sijakosea zitto alikuwa nje ya nchi kufuatilia mabilion ya wtz yaliyofichwa nje ya nchi. Swali INAWEZEKANAJE CCM WAMSAPORT MTU AMBAYE ANAFICHUA UOZO WA SERIKALI YAO? Je, mnaosema ccm wanamsaidia mmewahi kujiuliza swali hilo au mnalishwa tu na watu fulani fulani?
KWA MTAZAMO WANGU
kuna baadhi ya wana ccm ndani ya CDM ambao wanapandikiza chuki ili zitto aonekane msaliti ndani ya chama kwa lengo la kumzuia asiendelee na uchunguzi wake wa mabilion ya wtz yaliyopo nje ya nchi. Sasa hivi hakuna anayehoji kuhusu uchunguzi wala taarifa yake matokeo yake kila mtu anajadili kuwa yeye ni msaliti wa chama. Huo umekuwa utaratibu wa serikali kuwapa watu matukio ili waache kufuatilia mambo ya msingi. Wtz sasa umefika wakati wa kutofuatilia matukio badala yake tuangalie mambo ya msingi na kufuatilia utekelezaji wake. ACHENI USHABIKI BALI TUMIENI AKILI KATIKA MAMBO HAYA MTABAINI UKWELI.
Kweli kazi ipo maana wtz bana akinya kuku kanya, akinya bata kaharisha teh, teh, teh. Mbona kina lissu walitoa taarifa zao kwenye vyombo vya habari hamkusema, yeye katoa kwenye vyombo vya habari limekuwa kosa. Kweli ni vichekesho. Ila nisishangae sana yote hii ni mpongo wa ccm kuwavuruga wtz wasifikirie vzr kwa kuwapa elimu feki, vyeti, feki, mawazo feki, na mitazamo feki. Pia kuwafanya kuwa na akili za kupaparukia mambo kama moto wa kifuu kisha baada ya muda unaisha makali. Kweli mwaka huu serikali ya ccm imewapatia. Sasa hivi akili zote sakata la zitto.
- Kama anadhani kanuni hazikufuatwa kwanini aliomba kujiuzuru nafasi yake?
- Kwanini alikubali kuhojiwa na kamati kuu huku akijua kanuni hazijafuatwa?
- Kwanini siku hiyo anahojiwa asikatae kwa kigezo kuwa kanuni hazikufuatwa?
- Kwanini leo hii ndiyo agundue kuwa kanuni hazikufuatwa?
- Kwanini akubali/aliomba kamati kuu ajiuzuru kwa makosa ambayo adhabu zake hazikufuata kanuni husika?
- Ni kwanini amekata rufaa wakati yeye binafsi hakufuata kanuni?
- Kwanini baada ya kupokea sms alikubali kuhojiwa na kamati kuu huku akijua hizo sizo taratibu?
- Hata kama atashinda rufaa ya kosa la awali na kufukuzwa uanachama kwa mashitaka 11 haoni itakuwa imekula kwakwe?
Tatizo hawa jamaa wanajaribu uwezo wa zzk, jamaa yuko smart zaidi ya wanavyofikiri! Inakuhitaji akili ya ziada kumuelewa zzk
Mimi nafikiri Zitto angetafuta njia ya maridhiano kumaliza mgogoro huu, akianza mambo ya kisheria hapa mwishowe itakula kwake. Hata kama atarudishiwa nafasi zote atafanya kazi na nani katika safu hapo makao makuu. Yeye namshauri au aamue kuondoka katika chama na kujiung na chama kingine au aamue kutafuta maridhiano abaki salama ndani ya chama. Hata kama atapewa hiyo rufaa katika Baraza kuu atamwongonza nani na atakuwa anaongoza na nani? watu wa Kg bwana, ataishia ukingoni, kwani namuona kama amekaa juu ya jukwaa la maandazi chini kuna wadudu wanakula mwishi wa yote jukwaa alilosimamaia litaanguka. take care zitto acha habari ya sheria hapa. Mwishow utaomba uenyekiti wa CDM taifa kupitia mwanasheria wako anayekudanganya kumbe ulitakiwa kukaa vizuri na viongozi wenzako. Hata kama utapewa huo uenyekiti utaoongoza kupitia mwanasheria wako, tumia akili ya kawaida sana kumaliza issue hii, haihitaji hata digree, kili kosa, omba msamaha, nawe utasamehewa.
We sembe acha ufala kama elimu ni hata ww yako n feki ----- ww.ingekuwa feki ungejua kusoma na kuandika huu upuuzi wako?umekua jf sio chombo cha kukaaqhifu serukali ndo maana kikaitwa kisima cha fikra sasa wengi mmefanya kisima cha vilaza
Hapo ndipo Zitto anapokosa busara au ndio anapodhihirisha malengo yake ni yapi dhidi ya Chadema. Kwa nini mashtaka aliyopewa yajibiwe kwa waandishi habari?
Tiba
Hawa waliochukua nchi saizi wanafanya ufisadi wa kuua watanzania. Baba yako Juma Kapuya wa CCM yenu amebaka kitoto cha miaka 14 na kukiambukiza ukimwi. Mjomba wako Kinana sio raia wa Tanzania anafanya ujangili wa Tembo kila kukicha. Kapuya ni Profesa tena msomi na Division one. Ni bora mimi nibakie na division five yangu kuliko wewe na Baba yako Kapuya na division one zenu. Katiba yenu inaruhusu kubaka na ujangili wa tembo? Go to Hellsasa kama katiba inakiukwa na wewe unaridhika unao sawa sawa kwa sababu ya chuki zako. Je CHADEMA ikichukua nchi itakuaje? Kama katiba yake yenyewe wanaikiuka. Msomi hawezi kuandika upuuzi kama huu wako! Au divisheni 5 wewe?
asiyekuwa na kazi ni SLAA aliyeko Kigoma kupinga kuchakachua Katiba ya Chama, Kuzuia Demokrasia ndani ya Chama kwa kuzuia Uchaguzi halali kwa kuhofia kupoteza nafasi za Uongozi walizonazo, kumuandalia zengwe na kumbambikizia ZZK taarifa za uongo za kukihujumu Chama kwa lengo la kum- terrorize asipiganie haki ndani ya Chama hasa kusimamia Msimamo wa Chama kama kutopokea Posho na yeye SLAA kuwa kwenye upande wa wezi na wanao kihujumu Chama na kuwasaidia watu kama akina LEma, Mbowe kufanya shughuli za Tender Board .
Kama unatumia tumbo kufikiri hapo itaingia tumboni, lakini kwa anaetumia brain tuliofundishwa shuleni, zito anapotea kwenye siasa za bongo completely,subili apigwe chini
Wengi wameongea lakini naona wewe umekidhi vigezo vya GT.
Cheers