Mwanasheria wa familia

Sungurampole

JF-Expert Member
Nov 17, 2007
984
205
Katika maisha nimejifunza kuiga mambo mazuri. hili la kuwa na mwanasheria wa familia nafikiri ni moja ya hayo ila sijui wanapatikanaje na kwa juu juu pia wanaojua wanaweza kunijulisha hili liko hapa Tanzania?
 
Asanteni wakuu nilifkiri ili kwa elimu ya jumla ninyi wenye fani mtufumbue macho kidogo mambo yanavyokua ili hata kesho mwingine akiwaza jambo kama hilo ajue pa kuanzia najua mwishoni nitakwenda specific na mmoja na hapo itakuwa miafaka kumPM huyo, nikichokoza labda mtujuze mimi ninamhitaji ili ikitokea jambo lolote lenye interest za family yangu aweze kulikabili kwa niaba siyo wa seme subiri baba au ukuta mama na watoto wannynyaswa ukiwa uko mbali. aina ya mikataba, range za malipo. processes involved- all that-mageni jamani deal huenda ni nyingi mkijinadi vizuri
 
Mkuu nafikiri nimekuelewa na just let me know kwa njia yoyote what exactly u need maana kila Wakili ana range yake ya malipo na japo kuna sheria inayogovern hayo bado negotiation zinaruhusiwa kulingana na uzito wa kazi
So just send all information u need to me and hata maswali yako then nitakujibu klulingana na mahitaji
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom