Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

Mwanasheria Mkuu: Serikali haitagharimia Mahakama ya Kadhi

Mpuuzi huyu, aache hizo danganya toto! Katika Uislamu, Mahakama ya Kadhi, ni Ibada! Serikali inajihusishaje na Ibada ya Dini moja? Kumbe ndiyo sababu ya Masaju kupewa nafasi hiyo, ili atuletee chokochoko za kidini! Apotelee uchochoroni! MAHAKAMA YA KADHI TANZANIA, HAIKUBALIKI!!!!!! Period!
 
Mwanasheria mkuu wa Tanzania mh. George Masaju amesema serikali haitajihusisha na mahakama hiyo kwa vile inaanzishwa kwa misingi ya kidini na serikali ya jamhuri ya muungano haina dini.

Taarifa ya habari saa 2 ITV.
 
Kama haitogharamiwa na serikali au kujihusisha na serikali mjadala huu wa mahakama ya kadhi unafuata nini bungeni?mahakama hii ya kadhi inataka baraka zipi za serikali?

Kama mahakama ya kadhi ni ibada ya nini tuletewe bungeni??

Hivi dini zinabanwa na serikali katika kuendesha ibada?

Ni kwa nini bakwata wasianzishe mahakama ya kaddhi bila kupitia bungeni?

IF THIS KADHI COURT IS FOR THE MUSLIMS WHY LET THE KAFIR DISCUSS IT?
 
Hii mada siyo njema ulikoiona inatosha tuachane na mijadala kama hii.
 
Hapa nimewasema wanawake nikirelitisha na wanaume,kwa mfano huko saudi arabia wanawake hawaruhusiwi kuolewa hadi kaka yake akubali,au ndugu yake yeyote yule wa kiume,kwenye talaka pia mwanamke anaondoka bila chochote,au labda ningetumia neno haki za wanawake ndo ningeeleweka vizuri,nimesema uhuru nikimaanisha kipengele cha haki sawa kwa wote,unaweza ukawa na uhuru na usiwe na ruhusa ya kufanya mambo flani,hivyo uhuru unakuwa sio 100 perce

Wewe kama unataka haki sawa baina ya ke na me, mpeane zamu na mumeo ya kubeba mimba na kuzaa


SHERIA YA MUNGU USIILETEE HOJA ZAKO ZA BEJING
 
Mwanasheria mkuu wa Tanzania mh. George Masaju amesema serikali haitajihusisha na mahakama hiyo kwa vile inaanzishwa kwa misingi ya kidini na serikali ya jamhuri ya muungano haina dini.

Taarifa ya habari saa 2 ITV.

Watu wenye dini zao si wajianzishie wenyewe mahakama? Kama vile taasisi za kikatoliki zinaanzisha masuala yao ya kidini kwa pesa zao na kufuata taratibu za dini yao. Mahakama ya kadhi can do the same!!
 
kwa akili za wenzetu pachambika hapa, acheni vya dezo hakuna mkristo atakaye kubali kodi yake ikatoe maamuzi ya mtu kupigwa mawe hadi kufa
 
Masaju asitudanganye kuwa serikali haitaingia gharama mahakama ya kadhi ikisajiliwa. Kusajiliwa kwenyewe ni gharama kwani ni watumishi wa serikali na vifaa vya serikali ndio watakaotumika katika utekelezaji wa hukumu za mahakama hiyo. Kwa mfano kama upande moja hauafiki hukumu ya mahakama hiyo ni lazima hiyo hukumu isajiliwe kwenye mahakama za kawaida ili amri ya utekelezaji itolewe na kutekelezwa. Kama nimeelewa vibaya Masaju au mwanasheria mwingine anifafanulie.
 
vipi zile hela wanazopewa kanisa

Shirikisha kichwa kabla ya kupost badala ya kutumia masaburi... huduma za afya zitolewazo makanisani zinahudumia jamii nzima basipo kubagua imani wala dini ya mtu... ni tofauti na hizo mahakama zenu zinazoenda kushughulikia wake na watoto wa ustadhi kipozeo kwenye mirathi.
 
Hawa watoto wa mama Mdogo wataweza kugharamia?
 
Hii ina dhiirisha makafiri wengi wanaochangia humu jf ni mbululaz au wanachuki binafsi maana huu muswada ulishawekwa wazi na kila mtu angeweza kuuona then ndo wangesema huo upuuzi wanaofikiria

Kafiri ni mama yako aliyezaa toto jinga linaloshikiwa akiri na wafuga majini.
 
Utata ulikuwa kwenye kugharamiwa na serikali.. serikali isihusishwe hata kwenye gharama yeyote hata kwa sh1.

Hiki ni kizungumkuti. Kama serikali haitajihusisha ni kwa nini ijadiliwe bungeni na iwe kwenye katiba? Hayo si mambo ya imani yao? Why should the government come in? There is something fishy.
 
Washenzi hawa hata huyo mwanasheria hana akili! Wanatuletea udini! Shenzi zao hakuna cha mahakama ya kadhi
 
mwana04.jpg



Mwanasheria mkuu wa serikali Mh. George Masaju amesema mahakama ya kadhi itakayoanzishwa kisheria haitahudumiwa na serikali na itakuwa ya hiari kwa waumini wa dini ya kiislamu watakaoiridhia katika masuala ya ndoa, talaka, mirathi pamoja na wakfu na kutaka wanasiasa kuacha kukuza mijadala ya suala hilo kwa maslahi yao binafsi.
Akizungumza katika mahojiano maalum na vyombo vya habari vya IPP Bw.Masaju amesema uwepo wa mahakama hiyo utaisaidia serikali katika kuipunguzia mzigo wa mlundikano wa kesi uliopo hivi sasa hivyo ni bora dini zote zikaiunga mkono.

Aidha mwanasheria mkuu huyo wa serikali amekiri madhaifu yaliyofanywa na serikali ya kutotoa elimu kuhusiana na faida ya mahakama ya kadhi kuwa yamechangia pia mjadala kuhusiana na uanzishwaji wake.

Kuhusiana uwepo wa mjadala huo kulenga kuifanya jamii iache kujadili mambo yanayolikabili taifa ambayo ni upigaji kura ya maoni ya katiba pendekezwa, uandikishwaji wa wapiga kura pamoja na uchaguzi mkuu amesema.

source ITV

Masaju wewe kilaza wa sheria, kwanza kitendo cha kujadili mswaada tayari gharama za serikali kwani mayarisho yake yamechukua kodi zetu pambafu kabisa
 
Kila unapokaribia uchaguzi Waislam hudanganywa na 'peremende' halafu wanachinjiwa baharini. Sijui kwa nini hawajalitambua hili
 
Back
Top Bottom