Very bad!
Hii ni hatari!! Nchi imekosa usalama wa taifa
Sitegemei kuona nilichokiona kwa Nyerere siku rais Mkapa au jK akifa. Labda Mwinyi
Waziri wa mambo ya ndani ameshindwa kazi aachie ngazi!
Ni vizuri kuwaza, ila usipoteze logic. Yanawezekana wala yasiwe na uhusiano na Dr. Uli. Yale mamia ya mamilioni si kila mtu anaweza kuyapata tena, wengine ndio zilikua nyumba zao hizo hizo... ! Tuwe reasonable at times katika kuargue. Pole Dr. Uli, Pole HecheNahisi kuna agenda ya siri vile! Anataka tuamini kwamba Mwanasheria amepigwa na watu wenye hasira ya kupoteza nyumba zao hivyo na Dr. Ulimboka alitekwa na watu wenye hasira ya kupoteza ndugu zao. Nahisi haya ndo mazingira yanayojengwa!!!
SAKATA la ubomoaji majumba ya kifahari yaliyojengwa katika fukwe za Dar es Salaam limechukua sura mpya baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira, Dk Terezya Huvisa kufichua siri ya uhalifu.
Waziri amesema mbali na yeye kutishwa kuuawa, pia Mwanasheria wa Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Heche Manchare ametekwa na watu wasiojulikana wakiwa wameficha nyuso zao kwa vitambaa na kumpiga kisha kumtelekeza eneo ambalo hakulitaja.
Mkuu, Mungu anasema "Jisaidie nami Nitakusaidia". Kila kitu sio lazima Mungu aingilie. Kuna mengine yako ndani ya uwezo wa binadamu.Tunakoelekea ni kubaya, ukisema kweli na kusimama katika kweli TZ maisha yako yanakuwa hatarini, Please God intervene!
Kubomowa sawa kama wamejenge sehemu ambazo haziruhusiwi kisheria.
But wale waliowapatia HATI za UJENZI wamechukuliwa hatua gani?
Na kama kweli wana hati HALALI ZA UJENZI from the same Govt basi inabidi walipwe fidia kabla ya kubomolewa.
Serikali isicheze double stds lazima iingie gharama kwa UZEMBE uliofanya na watendaji wake.
Nadhani wewe utakua wa kwanza kuisadia idara ya upelelezi kuhusu hili,ni vema watu wote tuheshimu na kutii mamlaka, sio kukimbilia kuteka na kupiga watumishi tena wataalam wetu huu ni ujinga na upuuzi wa kizamani sana..killing our own professionals simply means we are a dead Nation, we cannot move an inch without technical personnel ambao tunawateka na kuwapiga...mtu mwenye akili timamu atafata taratibu zote including kununua kiwanja halali sio kujenga mtoni, atapata hati halali na kupewa building permint aanze ujenzi wake halali, sasa ww unatetea watu waojenga kwenye mito halafu unashabikia watumishi wa serikli kupigwa..akili zako ndogo sana kabisa..pole sana Heche Mungu atakusaidia wewe ni kamanda Bora ukaifia nchi yako...
Hii ni hatari!! Nchi imekosa usalama wa taifa
wanakigamboni mpooooooooooo! Hiyo ndo agenda inayokuja kwenu hakuna cha mji mpya wala nini wanataka beach mabwana zao wanazitaka...zimeshauzwa......kaeni mkao wa kula kigamboni ...mtajuta kuichagua ccm.sakata la ubomoaji majumba ya kifahari yaliyojengwa katika fukwe za dar es salaam limechukua sura mpya baada ya waziri wa nchi, ofisi ya makamu wa rais, mazingira, dk terezya huvisa kufichua siri ya uhalifu.
Waziri amesema mbali na yeye kutishwa kuuawa, pia mwanasheria wa baraza la taifa la hifadhi na usimamizi wa mazingira (nemc), heche manchare ametekwa na watu wasiojulikana wakiwa wameficha nyuso zao kwa vitambaa na kumpiga kisha kumtelekeza eneo ambalo hakulitaja.