dansmith
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 2,305
- 2,094
Tanzania imebahatika kuwa na vijana wazalendo wanaosimamia sheria bila kujali aliyeivunja ni nani.
Hatuwezi kulizungumzia baraza la usimamizi wa mazingira NEMC bila kumtaja kijana mzalendo wa kweli mwanasheria wa NEMC Bwana Heche manchare.
Pamoja na zoezi zuri la bomoaboa inayoendele nchi nzima il kupisha maeneo ya wazi na maeneo hatarishi kwa wakazi wa mabondeni lakini Ndugu Heche pia ameagusa maeneo ambayo wengi walidhani hayataguswa kwa sababu ya mtu fulani ktk siasa/serikali au jamii anayoitumikia.
Hongera sana ndugu Manchare na watanzania tunakuunga mkono.
Pamoja na jitiada nyingi ulizofanya za kutaka baadhi ya viwanda virekebishe matiririko yao ya maji taka kutoathiri maeneo ya makazi ya watu wanaozunguka eneo hilo bd tatizo hili ni kubwa tunakuomba ukaze buti.
Tunajua kazi iliyopo mbele yako ni kubwa sana watanzania tunakuunga mkono katika kutumbua hayo majipu ili kulinda ardhi yetu na vyanzo vya maji na fukwe zetu nzuri Mwenyezi Mungu alizotupatia. Usirudi nyuma huna lingine ila kazi tu.

Last edited by a moderator: