Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

Israel kaua wanasayansi wangapi wa Iran mpaka leo?....achilia mbali wanasayansi hao proxy wa Iran huko Syria ndo usiseme makumi kwa makumi lakini Iran anaishia maneno tu kwa myahudi....hili taifa la visasi ndo nchi inayoendelea kuwepo huku ikiwa imezungukwa na maadui pande zote....lakini jamaa wapo wanaemdelea na maisha yao.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji2772]
Unajua kabisa kwamba iran huwa habwabwaji subiri majibu siku 7 tu umesahau kuwa iran ilishambulia bases za marekani kule Iraq?israel wajiandae kisaikolojia
 
Wa Iran nao wapuuzi, kwanini wasiwawekee ulinzi mkali hao watu wao muhimu? Huyu wanne anauwawa si wataisha?!!...
 
Iran inahujumiwa na Wayahudi walio ndani ya Iran..
Iran ndo nchi pekee ya kiislam inawayahudi wengi kuliko,hao ndo wanatumiwa na serikali ya Tel Aviv kufanya yao.

According to the latest Iranian census, the remaining Jewish population of Iran was 9,826 in 2016 https://www.google.com/search?sxsrf...hUKEwjk8bmwuqXtAhUxVTABHRT_DEgQ4dUDCA0&uact=5

Ila wanadai Turkey ambayo nayo ni nchi ya Kiislamu pia, inao Jews 15,000. According to Wikipedia...
 
Asilimia 90 ya waiRan sio Anti-Israel.
90% ya wairan sio anti Americans
90% ya iranians hawaipendi serikali yao
90% ya iranians walifurahi Qaasim suleiman kuuwawa maana aliwatesa sana

Lakini wabongo wa kwa mtogole wavaa vipedo wanadhani Iran nzima inachukia waisrail
 
Hili ni pigo kubwa sana kwa Iran! Huyo jamaa alikuwa ni Mwanasayansi aliyebobea na ni mwalimu wa mambo yote ya milipuko mikubwa ya kuangamiza, hawakupaswa kumuacha bila ulinzi wa maana.
Nje ya mada; hao jamaa tumewazidi uchumi nini? Huku kwetu mtu mzito kama huyo hapewi Nissan Fuga! Huku angekuwa ndani ya V8 new model 0km.
Na hata likitembea Km zinakua haziongezeki.
 
Israel anadhani iran anataka kuunda nuclear bomb,kitu ambacho kitaifanya iran iwe more powerful,,so israel anataka nchi zinazoizunguka ziwe weak kwa kuhofia anaweza kushambuliwa,
So israel ana option 3.
1-kuacha iran iunde nyuklia.
2-kushambulia vinu vya nyuklia iran(hii anapungukiwa na capability,hana bunker buster za ku penetrate mita 500 chini ya ardhi).
3-anaua iran nuclear scientist ili ku sabotage program ya nuclear ya iran,
Hii option ya mwisho ndo wanaitumia maana sio risk kivile
Bunker burster wanayo na soon wanakuja na option nyingine ambayo ni most effeciency.
 
Asilimia 90 ya waiRan sio Anti-Israel.
90% ya wairan sio anti Americans
90% ya iranians hawaipendi serikali yao
90% ya iranians walifurahi Qaasim suleiman kuuwawa maana aliwatesa sana

Lakini wabongo wa kwa mtogole wavaa vipedo wanadhani Iran nzima inachukia waisrail

[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] Mkuu naona unawatafuta wavaaa kobazi
 
Bunker burster wanayo na soon wanakuja na option nyingine ambayo ni most effeciency.
Israel has 2,000- and 5,000-pound bunker-buster bombs, some of which were delivered by the Obama administration. Iranian planners, however, might hope that these will prove insufficient to do major damage. The U.S. should remove such doubt by providing Israel with the capability to reach and destroy Iran’s most deeply buried nuclear sites. The U.S. could do this by providing an appropriate number of GBU-57 30,000-pound bunker-buster bombs, known as the Massive Ordnance Penetrator or MOP, and several B-52 bombers.

The Pentagon has developed the MOP bomb specifically for destroying hardened targets. It can penetrate as deeply as 200 feet underground before detonating, more than enough capability to do significant damage to Iran’s nuclear program. There are no legal or policy limitations on selling MOPs to Israel, and with an operational stockpile at Whiteman Air Force Base in Missouri, the U.S. has enough in its arsenal to share.

Israel, however, also lacks the aircraft to carry the MOP. Which means the U.S. would need to provide planes capable of carrying such a heavy payload. Only two can do so: the B-52 and the stealth B-2.

The U.S. has only 20 B-2s and would not share such a core component of nuclear deterrence. Nor is the Pentagon willing to part with active B-52s. Of the 744 built since 1955, all but roughly 80 have been decommissioned, sent to the “boneyard” at Davis-Monthan Air Force Base in Arizona, and, in compliance with arms-control-treaty obligations, mostly rendered inoperable. With plans for a new long-range bomber delayed by defense-spending cuts and sequestration, current plans call for keeping the active duty B-52s in service for at least another 20 years.

But there are more than a dozen of the
 
Hivi israel inauwezo wa kuingiza ndege zake iran na zikatoka salama?
 
Na hata likitembea Km zinakua haziongezeki.
Bunker burster wanayo na soon wanakuja na option nyingine ambayo ni most effeciency.
Hawana massive ordinance penetrator ambayo ndo inaweza kufikia vinu vilivyo chini sana ya ardhi,hata wakupewa MOP,bado hawana means ofdelivery,wamarekani naohawataki kuwapa strategic bomber zao,
Bunker buster walizonazo ni ndogo haziwezi hata kupenetrate ngome za hamas pale gaza,
 
We jamaa wewe unabishana Kama wewe ndo mtunza ghala la silaha la Israel duh we kiboko [emoji114]
Hawana massive ordinance penetrator ambayo ndo inaweza kufikia vinu vilivyo chini sana ya ardhi,hata wakupewa MOP,bado hawana means ofdelivery,wamarekani naohawataki kuwapa strategic bomber zao,
Bunker buster walizonazo ni ndogo haziwezi hata kupenetrate ngome za hamas pale gaza,
 
Asante mkuu maaana kuna mtu anasema f35 zikiwa 29 zinaweza kuingia iran bila shida ha ha ha wakati mig 29 na f 14 za iran zinauwezo wa kuzitungua hizo f 35 kama dagaa tu
Kama kuingia labda wanyanyukie saudiarabia ambako ni karibu na iran,kutokea israel moja kwamojawataonekana.
Lakini hata wskiingia wawe tayari kupoteza 30 asilimia ya ndege,,ndege zitakazobaki haziwezi kufanya damage kubwaya ku warrant loss ya ndege 30,
Na kipindi hicho mvua ya missiles itakuwa ikinyesha tel aviv,kutokea iran,syria,lebanon,iraq na yemen,TOO COSTLY.
 
UNAJIULIZA hii serikali ya Iran ina udhaifu mkubwa Kiasi gani?? INASHINDWAJE kuwalinda watu wake mhimu?? QUASEEM SOULYEMAN Aliuwawa kizembe zembe hivi hivi yaani hawana hata bomb detector kwenye magari na wala vioo vya gari sio bullet proof..stupid.

Muuaji anarahisishiwa kazi sana kiasi anakua anacheka tu..ndio mana ametumua silaha mbili zote Risasi na Bomu na zote zimefanikiwa..

AIBU zaidi wanawaua hapo hapo Kwao yaani mtu anakuja kukupiga kwako kabisaa..shenzi. Iran mna udhaifu mkubwa sana..
Paka Israel aondoke kwenda kukuuwa leo ujuwe pingine amekufatilia nyendo zako ata miaka 5 kila siku akitafuta upenyo wa kukushusha futi sita na siku akipata lazima uondoke ata ukuwa nani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom