Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

UNAJIULIZA hii serikali ya Iran ina udhaifu mkubwa Kiasi gani?? INASHINDWAJE kuwalinda watu wake mhimu?? QUASEEM SOULYEMAN Aliuwawa kizembe zembe hivi hivi yaani hawana hata bomb detector kwenye magari na wala vioo vya gari sio bullet proof..stupid.

Muuaji anarahisishiwa kazi sana kiasi anakua anacheka tu..ndio mana ametumua silaha mbili zote Risasi na Bomu na zote zimefanikiwa..

AIBU zaidi wanawaua hapo hapo Kwao yaani mtu anakuja kukupiga kwako kabisaa..shenzi. Iran mna udhaifu mkubwa sana..
Mkuu hata sisi tumepigwa kwetu katala kusini na Al Shabab wa Msumbuji... Hii makitu haina mambo ya udhaifu ni timing tu... Iran wamengamua visa vingi tu kabla havijatokea.... Iran Maeneo wanayoishi waarabu hubaguliwa so wanahasira sana na hao Wapersian
 
Ila maarabu ni maboya sana inakuwaje mtu muhimu kama huyo wanashindwa kumlinda mpaka anakufa kizembe kiasi hicho
 
Hiyo huruma itoke wapi kwa watu wanaotengeneza silaha(weapons of mass destruction) na kutishia kuifuta nchi yao ktk uso wa dunia. Hiyo siyo murder ni legitimate military target
Mkuu umeniacha hoi kwamba hiyo ni "Legitimate military target"
 
UNAJIULIZA hii serikali ya Iran ina udhaifu mkubwa Kiasi gani?? INASHINDWAJE kuwalinda watu wake mhimu?? QUASEEM SOULYEMAN Aliuwawa kizembe zembe hivi hivi yaani hawana hata bomb detector kwenye magari na wala vioo vya gari sio bullet proof..stupid.

Muuaji anarahisishiwa kazi sana kiasi anakua anacheka tu..ndio mana ametumua silaha mbili zote Risasi na Bomu na zote zimefanikiwa..

AIBU zaidi wanawaua hapo hapo Kwao yaani mtu anakuja kukupiga kwako kabisaa..shenzi. Iran mna udhaifu mkubwa sana..
Iran imekusoma mkuu
 
Kwa hiyo kosa lake ni kusoma mambo ya nyuklia na kufanya kazi? Kwanini wawalenge wanasayansi! Wanakosa gani kuwa wataalam wa taaluma husika? Si wawashambulie wanasiasa ambao ndo wako nyuma ya hili.. Kama ni Israel wako nyuma ya hili hawafanyi vizuri, ni upuuzi..
 
Inadaiwa kigogo huyo hatari kwa Usalama wa Taifa Teule la Israel ameuawa kupitia Operesheni Maalumu ya Mossad

Mwendazake huyo alijulikana kwa Jina la Mohsen Fahrizade

Taifa la Israel lenye Mji Mkuu wake Jerusalem litaendelea kujitetea dhidi ya njama ovu zenye nia ya kuliangamiza Taifa hilo takatifu.

Mungu atukuzwe kwa matendo Makuu
 
Inadaiwa kigogo huyo hatari kwa Usalama wa Taifa Teule la Israel ameuawa kupitia Operesheni Maalumu ya Mossad

Mwendazake huyo alijulikana kwa Jina la Mohsen Fahrizade

Taifa la Israel litaendelea kujitetea dhidi ya njama ovu zenye nia ya kuliangamiza Taifa hilo takatifu.
Hebu rudia kusoma ulichokiandika.
 
siamini kuwa Iran hailindi scientists wake lakini upenyo mdogo tu kwa watu kama mossad ni nafasi kubwa na hata mda haupotezwi mana muajemi naye kajitahidi kuwin baadhi ya issue ,ila ndo hivyo mossad nao ni efficient killing machine humu duniani kwetu
 
Hili ni pigo kubwa sana kwa Iran! Huyo jamaa alikuwa ni Mwanasayansi aliyebobea na ni mwalimu wa mambo yote ya milipuko mikubwa ya kuangamiza, hawakupaswa kumuacha bila ulinzi wa maana.
Nje ya mada; hao jamaa tumewazidi uchumi nini? Huku kwetu mtu mzito kama huyo hapewi Nissan Fuga! Huku angekuwa ndani ya V8 new model 0km.
 
Inadaiwa kigogo huyo hatari kwa Usalama wa Taifa Teule la Israel ameuawa kupitia Operesheni Maalumu ya Mossad

Mwendazake huyo alijulikana kwa Jina la Mohsen Fahrizade

Taifa la Israel litaendelea kujitetea dhidi ya njama ovu zenye nia ya kuliangamiza Taifa hilo takatifu.
MOSAD njoo na huku
Kuna watu wamejigeuza Miungu watu
 
Mossad ilianza tangu siku ile wa Israel walitoka utumwani. Na majasusi wa kwanza wa Mossad walikuwa Caleb na Joshua walipenetrate kuta kubwa na ulinzi mkali wa Jericho.

'Ukimbariki, kumtetea na kumlinda Israel popote pale utabarikiwa. Kinyume na hapo utalaaniwa wewe na kizazi chako chote'. MUNGU mwenyewe!
 
Back
Top Bottom