Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

Kutoka general wao yule wa quddus hadi huyu wa sasa hivi naona mossad oparetion Zao ni unseen hadi wanaondoka kirahisi
Wanawatumia MEK hawa ni iranian separatists..ni kama hapa cia waje kuwatumia NCCR ,very sophisticated actually,,wana kila msaada kutoka five eyes,US ,wanaweza kumonitor mtu via satelites,sababu drone haziwezi ingia anga la iran ,wanapata first rate intelligence toka mashirika ya kijasusi ya saudi arabia,United arab emirate etc ambayo watu wake wanaweza ingia iran kwa urahisi.
Haya ni matokeo ya kikao cha juzi kati ya Pompeo,bin salman na Netanyahu,, hawa watatu wanahofia rais wa marekani anaanza kazi january anaweza kurudisha mazungumzo na iran,hivyo wanajitahidi kumchokonoa iran ili ajibu mapigo, Trump apate sababu ya kuanza mashambulizi dhidi ya iran
 
Mossad is a deadly most feared secret
intelligence agency in the world.. Wale wasioipenda Israel, watasema oohh hakuna kitu, endeleeni kujidanganya
 
Wayahudi ( Jews ) wana Kauli yao ambayo naipenda mno isemayo Our doctrine is that there's no Mission We can't accomplish na ninaiishi vile vile.
Okay, PM Netanyahu. Tangu Operation Thunderbolt dunia imekuinulieni mikono nyie jamaa
 
Kwa hiyo kosa lake ni kusoma mambo ya nyuklia na kufanya kazi? Kwanini wawalenge wanasayansi! Wanakosa gani kuwa wataalam wa taaluma husika? Si wawashambulie wanasiasa ambao ndo wako nyuma ya hili.. Kama ni Israel wako nyuma ya hili hawafanyi vizuri, ni upuuzi..
Israel anadhani iran anataka kuunda nuclear bomb,kitu ambacho kitaifanya iran iwe more powerful,,so israel anataka nchi zinazoizunguka ziwe weak kwa kuhofia anaweza kushambuliwa,
So israel ana option 3.
1-kuacha iran iunde nyuklia.
2-kushambulia vinu vya nyuklia iran(hii anapungukiwa na capability,hana bunker buster za ku penetrate mita 500 chini ya ardhi).
3-anaua iran nuclear scientist ili ku sabotage program ya nuclear ya iran,
Hii option ya mwisho ndo wanaitumia maana sio risk kivile
 
Hao watu walitakiwa kuishi kambini sio uraiani,kwasababu watu wanaanza kuwasuivey hata kwa mwaka mzima unakuta nyendo zake tayari wanazijua,bodyguard kama bodyguard hawezi kusaidia kwa lolote kama majasusi wamekusudia kukuondoa
Nadhani nchi hiyo inatajwa kuwa ni miongoni mwa nchi ambazo intelijensia yao ipo juu. Sasa sijui wameanza kukwama wapi
 
UNAJIULIZA hii serikali ya Iran ina udhaifu mkubwa Kiasi gani?? INASHINDWAJE kuwalinda watu wake mhimu?? QUASEEM SOULYEMAN Aliuwawa kizembe zembe hivi hivi yaani hawana hata bomb detector kwenye magari na wala vioo vya gari sio bullet proof..stupid.

Muuaji anarahisishiwa kazi sana kiasi anakua anacheka tu..ndio mana ametumua silaha mbili zote Risasi na Bomu na zote zimefanikiwa..

AIBU zaidi wanawaua hapo hapo Kwao yaani mtu anakuja kukupiga kwako kabisaa..shenzi. Iran mna udhaifu mkubwa sana..
Terrorist attack ni ngumu kuizuia. Mbona hata France even USA mashambulizi kama haya hutokea??

Maraisi wangapi wa marekani wameuliwa kwa risasi??

. Mbona mambo yakitokea IRAN mna yashadadia Sana??

Double standard?? Au Islamophobia??
 
HILI TUKIO LINAONYESHA UDHAIFU WA ISRAEL NA USA, WAMESHINDWA KUPAMBANA NA IRAN USO KWA USO WAMEAMUA KUTUMIA NJIA ZA PANYA.

KILA SIKU WANAKAA VIKAO, POMPEO ANAZURULA MIDDLE EAST KUTAFUTA WASHIRIKA WA KUIVAMIA IRAN LAKINI ANAKOSA SUPPORT.

MATOKEO YAKE WANAISHIA KUVIZIA KAMA HIVI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Daktari Mohsen Fakhrizadeh ambae anasimamia masuala ya Nyuklia Iran, Ameuawa mapema leo baada ya gari aina ya nissan fuga alilokuwa amepanda kupandikizwa bomu na kupigwa shaba kadhaa na mtu aliyekuwa kwenye pikipiki, tukio hilo limetokea katika mji wa damavand, karibu na Tehran.

Mpaka sasa hakuna kikundi kilichojitaja kuhusika, ila Israel imekuwa ikihusishwa na uuaji wa wanasayansi wa Iran, ambapo kati ya mwaka 2010 na 2012 wanasayansi wanne waliuliwa kwa staili kama ya leo.


--------

Top Iranian Nuclear Scientist Fakhrizadeh Assassinated
By IFP Editorial Staff - November 27, 2020

Photos of the assassination scene
Senior Iranian nuclear scientist Mohsen Fakhrizadeh-Mahabadi, a high-profile figure in the country’s nuclear energy program, has been assassinated in Damavand, east of Tehran.

According to several media reports, the scientist was killed on Friday, Nov. 27, 2020, in the Absard region of Davamand.

He was reportedly accompanied by his bodyguard when they were attacked by a “suicide” attacker at the entrance of Absard town.

Fakhrizadeh has been killed by shooting, but before the shootout, his car has been stopped with an explosion at Mostafa Khomeini Blvd. Several others are also reportedly killed in the incident, but haven’t been identified yet.

While Iran’s state TV also confirmed the assassination, Behrouz Kamalvandi, a spokesman for the Atomic Energy Organization of Iran, has denied the reports, saying all nuclear scientists are safe.

Tasnim quotes an informed source as saying that Fakhrizadeh is not dead yet and is under treatment in operation room. Efforts are underway to treat him and one of his companions

A Professor of physics at the Imam Hussein University, he was a senior scientist at the Iranian Ministry of Defence and Armed Forces Logistics.

No one has yet claimed responsibility for the assassination, but the Israeli regime has a dark history of hiring hit men to assassinate nuclear scientists and intellectuals in Iran.

Four Iranian nuclear scientists were assassinated by the Israeli regime between 2010 and 2012. According to Western intelligence agencies, the acts of terror were carried out by Israeli agents, an accusation Israeli officials never admit.


View attachment 1636103
Kuuwa, kulemeza, kuwapa shida watu, halafu eti taifa teule?! Mburaa..
 
katika nchi zote za kiislam, Iran kuna Wayahudi wengi sana.. inawezekana hao ndo wanaihujumu Iran.
Waisrael wa Iran wanatumika kufanya mauaji.
 
Hawa jamaa ni upepo sana hawapaswi kuzipata hata hizi gari waunde zao!

mbalaka
Iran inahujumiwa na Wayahudi walio ndani ya Iran..
Iran ndo nchi pekee ya kiislam inawayahudi wengi kuliko,hao ndo wanatumiwa na serikali ya Tel Aviv kufanya yao.
 
Ila maarabu ni maboya sana inakuwaje mtu muhimu kama huyo wanashindwa kumlinda mpaka anakufa kizembe kiasi hicho
Mkuu ni Persians ndo Wamefanyiwa, sio waarabu.
Wairan si waarabu.
 
Kwa hiyo kosa lake ni kusoma mambo ya nyuklia na kufanya kazi? Kwanini wawalenge wanasayansi! Wanakosa gani kuwa wataalam wa taaluma husika? Si wawashambulie wanasiasa ambao ndo wako nyuma ya hili.. Kama ni Israel wako nyuma ya hili hawafanyi vizuri, ni upuuzi..
Kweli kabisa, Israel idili na Ayattola sio wanasayansi.
inaonyesha kuwa msigano ulipo kati ya Iran na Israel Umeletwa na serikali ya Ayattola, uko nyuma kabla ya Ayattola hajapindua Meza ya Shah hakukuwa na vita kati ya Iran na Israel.
So, Israel nj vyema wakadili na tatizo lenyewe, hawa wanasayansi Wanaonewa bure.

Yaan njama ya kuchafua uchaguzi afanye magu, nije niuliwe mimi mbeba mabox ya Kupigia kura!!! [emoji17] [emoji17]
 
Inadaiwa kigogo huyo hatari kwa Usalama wa Taifa Teule la Israel ameuawa kupitia Operesheni Maalumu ya Mossad

Mwendazake huyo alijulikana kwa Jina la Mohsen Fahrizade

Taifa la Israel lenye Mji Mkuu wake Jerusalem litaendelea kujitetea dhidi ya njama ovu zenye nia ya kuliangamiza Taifa hilo takatifu.

Mungu atukuzwe kwa matendo Makuu
Hakuna utakatifu wowote pale Israel..
labda uwe na maana tofauti ya utakatifu
 
Hili ni pigo kubwa sana kwa Iran! Huyo jamaa alikuwa ni Mwanasayansi aliyebobea na ni mwalimu wa mambo yote ya milipuko mikubwa ya kuangamiza, hawakupaswa kumuacha bila ulinzi wa maana.
Nje ya mada; hao jamaa tumewazidi uchumi nini? Huku kwetu mtu mzito kama huyo hapewi Nissan Fuga! Huku angekuwa ndani ya V8 new model 0km.
nchi ya iran uwezi ilinganisha na nchi yoyote Africa kwa uchumi japo wapo ndani ya sanctions kwa muda mrefu.
wakati sie tuna nunua Dream line moja na kuhimizana viongozi na wananchi kwenda kuipokea, Iran ye alikuwa ameweka oda ya Boeing zaidi zaid ya 20,Ila kwasababu ya vikwazo wenye mali wakakataa kuwauzia.
 
Hichi ni kisasi baada ya juzi kamanda mmoja wa israel kuuwawa huko golan ndio maana israel ilifanya mashambulizi awamu mbili huko syria na lakumuu huyo mwanasayansi
 
Kweli kabisa, Israel idili na Ayattola sio wanasayansi.
inaonyesha kuwa msigano ulipo kati ya Iran na Israel Umeletwa na serikali ya Ayattola, uko nyuma kabla ya Ayattola hajapindua Meza ya Shah hakukuwa na vita kati ya Iran na Israel.
So, Israel nj vyema wakadili na tatizo lenyewe, hawa wanasayansi Wanaonewa bure.

Yaan njama ya kuchafua uchaguzi afanye magu, nije niuliwe mimi mbeba mabox ya Kupigia kura!!! [emoji17] [emoji17]

Israel huwa haina desturi ya kuuwa viongozi wa kisiasa kama umefatilia, so usitegemee kama Ayatollah atauliwa na Mossad.
 
Back
Top Bottom