EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Hii taarifa imeripotiwa na AljazeeraIsrael wangekuwa na huo uwezo wa kuwa invisible wangeshaleta maafa muda Sana katika Iran.. hasa makazi ya Ayatollah

Mtu gani huo wewe unasikiliza propaganda za Iran za kinafikijana mtu kapelekwa akhera wewe unaongea nini
Hii ni habar mbaya kwa wavaa makobaz[emoji1787]Mkuu ngoja nikupe fact
wo Israeli F-35 fighter jets entered Iranian airspace over the past month, Kuwaiti newspaper Al-Jarida reported on Thursday. The act is a signal of heightened regional tensions, especially in light of recent Israeli military attacks in Syria, including against Iranian bases in the country.
Sources quoted in Al-Jarida stated that two stealth fighters flew over Syrian and Iraqi airspace to reach Iran, and even targeted locations in the Iranian cities Bandar Abbas, Esfahan and Shiraz.
The report states that the two fighter jets, among the most advanced in the world, circled at high altitude above Persian Gulf sites suspected of being associated with the Iranian nuclear program. It also states that the two jets went undetected by radar, including by the Russian radar system located in Syria.
![]()
Two Israeli Air Force F-35 Adir Stealth Fighter Jets Enter Iranian Airspace | SOFREP
Guess you could assume, if this story is true, the F-35 proved its technology works in real life. Two Israeli F-35 fighter jets entered Iranian airspace
sofrep.com![]()
Nikiwapa hii ishu wanavaa barakoa, hawarudi maana imeandikwa na shirika la kiislamHii ni habar mbaya kwa wavaa makobaz[emoji1787]
Hata Mimi niliiona but sidhani la Ni kweliHii taarifa imeripotiwa na Aljazeera
Waisrael hawa hawa ndiyo waliyo muua Mtume Mohammad kwa kumlisha sumu karne ya 7. Hawa jamaa ni zaidi ya Mafiozo, hawana mchezo na waarab hata kidogo.Waisral hawana huruma. This is serial murder, wanaendelea kupukutika wataalam wa nuclear
pia usidhani kama sio kweliHata Mimi niliiona but sidhani la Ni kweli
Wayahudi na kazi ya kuangamiza waarab/wazanzibari (Persians) haitakwisha, hawa jamaa ni balaaa kwa kutokomeza watu duniani wakipewa intelijensia na Marekani.Daktari Mohsen Fakhrizadeh ambae anasimamia masuala ya Nyuklia Iran, Ameuawa mapema leo baada ya gari aina ya nissan fuga alilokuwa amepanda kupandikizwa bomu na kupigwa shaba kadhaa na mtu aliyekuwa kwenye pikipiki, tukio hilo limetokea katika mji wa damavand, karibu na Tehran.
Mpaka sasa hakuna kikundi kilichojitaja kuhusika, ila Israel imekuwa ikihusishwa na uuaji wa wanasayansi wa Iran, ambapo kati ya mwaka 2010 na 2012 wanasayansi wanne waliuliwa kwa staili kama ya leo.
--------
Top Iranian Nuclear Scientist Fakhrizadeh Assassinated
By IFP Editorial Staff - November 27, 2020
Photos of the assassination scene
Senior Iranian nuclear scientist Mohsen Fakhrizadeh-Mahabadi, a high-profile figure in the country’s nuclear energy program, has been assassinated in Damavand, east of Tehran.
According to several media reports, the scientist was killed on Friday, Nov. 27, 2020, in the Absard region of Davamand.
He was reportedly accompanied by his bodyguard when they were attacked by a “suicide” attacker at the entrance of Absard town.
Fakhrizadeh has been killed by shooting, but before the shootout, his car has been stopped with an explosion at Mostafa Khomeini Blvd. Several others are also reportedly killed in the incident, but haven’t been identified yet.
While Iran’s state TV also confirmed the assassination, Behrouz Kamalvandi, a spokesman for the Atomic Energy Organization of Iran, has denied the reports, saying all nuclear scientists are safe.
Tasnim quotes an informed source as saying that Fakhrizadeh is not dead yet and is under treatment in operation room. Efforts are underway to treat him and one of his companions
A Professor of physics at the Imam Hussein University, he was a senior scientist at the Iranian Ministry of Defence and Armed Forces Logistics.
No one has yet claimed responsibility for the assassination, but the Israeli regime has a dark history of hiring hit men to assassinate nuclear scientists and intellectuals in Iran.
Four Iranian nuclear scientists were assassinated by the Israeli regime between 2010 and 2012. According to Western intelligence agencies, the acts of terror were carried out by Israeli agents, an accusation Israeli officials never admit.
View attachment 1636103
Kweli kabisa, hawataki kuona waarab wanapumuaWaisrael hawa hawa ndiyo waliyo muua Mtume Mohammad kwa kumlisha sumu karne ya 7. Hawa jamaa ni zaidi ya Mafiozo, hawana mchezo na waarab hata kidogo.
Hivi hawa waarabu wa zama hizi mbona wajinga hivi, kataifa kadogo katikati yenu kinaletaje jeuri namna hyo. Acheni ujinga kata vichwa hao mnatudhaalilisha wakati sio desturi yetu hyo kuw
CHIEF, IRAN SIYO WAARABUHivi hawa waarabu wa zama hizi mbona wajinga hivi, kataifa kadogo katikati yenu kinaletaje jeuri namna hyo. Acheni ujinga kata vichwa hao mnatudhaalilisha wakati sio desturi yetu hyo kuwa wanyonge.
Mimi sijasema sasa Iran yoteNi sawa na unapokuwa dar es salaam unaweza kuhisi asilimia 85 ya wakazi hawamkubali mshua JPM ( Juma Pili Murua)
Lakini hii isikufanye uhitimishe eti dar yote hawamkubali mshua
This is just PSYOPS.Mkuu ngoja nikupe fact
wo Israeli F-35 fighter jets entered Iranian airspace over the past month, Kuwaiti newspaper Al-Jarida reported on Thursday. The act is a signal of heightened regional tensions, especially in light of recent Israeli military attacks in Syria, including against Iranian bases in the country.
Sources quoted in Al-Jarida stated that two stealth fighters flew over Syrian and Iraqi airspace to reach Iran, and even targeted locations in the Iranian cities Bandar Abbas, Esfahan and Shiraz.
The report states that the two fighter jets, among the most advanced in the world, circled at high altitude above Persian Gulf sites suspected of being associated with the Iranian nuclear program. It also states that the two jets went undetected by radar, including by the Russian radar system located in Syria.
![]()
Two Israeli Air Force F-35 Adir Stealth Fighter Jets Enter Iranian Airspace | SOFREP
Guess you could assume, if this story is true, the F-35 proved its technology works in real life. Two Israeli F-35 fighter jets entered Iranian airspace
sofrep.com![]()
kila ulichoandika hapa ni mawazo yako na yanaweza kuwa na logic au yasiwe nayo lakini cha msingi kujua ni kuwa hayo ni mawazo tu wala sio Fact ya kuprove kuwa hicho kitu kilitokea au hakikutokea.This is just PSYOPS.
Kwanza kabisa mission inayodaiwa kufanywa na ndege husika ni RECONAISSANCE sio COMBAT kama ulivoitafsiri hapa. Na kwa kuwa mission ilikuwa ni RECONAISSANCE basi F-35 ingehitaji muda mrefu sana wa kukaa juu ya anga la Iran kuchunguza na kupeleleza wanachakihitaji.
Kama iko hivi F-35 ingehitaji Tanker za kurefuel au waiongezee external fuel tank ili kuwezesha mission kukamilika.
1: F-35 inaweza kutembea mile 600 tu bila kuhitaji refueling, so kwa umbali kati ya Israel hadi Iran hili haliwezekani tena kwa mission ya upelelezi
2: Hamna jarida lako la waarabu linapoonyesha kwamba refueling tanker(s) i(zi)litumika kusupport hii mission
3: Kama walitumia external fuel tank hii ingekuwa suicide mission kwa kuwa hizi tank, na external weapons bay zinafanya radar signature kuwa kubwa hivyo ndege husika kuwa detected.
LLakini pia sidhani kama Israel ni vichaa kiasi hicho kuweka taarifa za mission husika hadharani kiasi hicho hadi wewe kwenye kibanda chako cha movie za wakorea umezipata. Lengo lingekuwa lipi hasa!
Ila pia fuatilia F-35 zimeuzwa Israel lini na ndani ya muda unaotajwa unahisi inawezekana kweli ndege husika zimeshaandaliwa(marubani pia na team nzima) kufanya operation kwa kutumia hizi ndege tena operation yenyewe ya nje ya nchi. Kama USA kwenyewe walioiunda F-35 bado wanahangaika kufix bugs kwenye sensor za ndege yao nini kinakufanya uamini Israel wameshaimaster ndege husika na tayari inaweza kutumwa kwenye mission kama unayoinukuu kwenye jarida lako la mwarabu?
Hii ni Jf, tujitahidi kuja na kichwa sio moyo na imani tunapokuja kuchangia topic ngumu kama hizi.. Kila anaekupinga una mquote na kagazeti kako ka mwarabu, hivi kuwait wana ata jeshi la anga! Haya mambo wameyajulia wapi?
95% Ni Nini? Ina maana Kama wairan wako Mia ,95 hawaikubali serikaliMimi sijasema sasa Iran yote
This is just PSYOPS.

Ila Israel hata kama wanazo hawajawahi kusema wataingamiza Iran, LAKINI Iran kila mara inajinasibu kuifuta Israel ktk uso wa dunia!Kwahiyo israel hawana aina ya hizo silaha
Usidhani lazima ndege ikae masaa kadhaa hewani ni mambo ya TechThis is just PSYOPS.
Kwanza kabisa mission inayodaiwa kufanywa na ndege husika ni RECONAISSANCE sio COMBAT kama ulivoitafsiri hapa. Na kwa kuwa mission ilikuwa ni RECONAISSANCE basi F-35 ingehitaji muda mrefu sana wa kukaa juu ya anga la Iran kuchunguza na kupeleleza wanachakihitaji.
Kama iko hivi F-35 ingehitaji Tanker za kurefuel au waiongezee external fuel tank ili kuwezesha mission kukamilika.
1: F-35 inaweza kutembea mile 600 tu bila kuhitaji refueling, so kwa umbali kati ya Israel hadi Iran hili haliwezekani tena kwa mission ya upelelezi
2: Hamna jarida lako la waarabu linapoonyesha kwamba refueling tanker(s) i(zi)litumika kusupport hii mission
3: Kama walitumia external fuel tank hii ingekuwa suicide mission kwa kuwa hizi tank, na external weapons bay zinafanya radar signature kuwa kubwa hivyo ndege husika kuwa detected.
LLakini pia sidhani kama Israel ni vichaa kiasi hicho kuweka taarifa za mission husika hadharani kiasi hicho hadi wewe kwenye kibanda chako cha movie za wakorea umezipata. Lengo lingekuwa lipi hasa!
Ila pia fuatilia F-35 zimeuzwa Israel lini na ndani ya muda unaotajwa unahisi inawezekana kweli ndege husika zimeshaandaliwa(marubani pia na team nzima) kufanya operation kwa kutumia hizi ndege tena operation yenyewe ya nje ya nchi. Kama USA kwenyewe walioiunda F-35 bado wanahangaika kufix bugs kwenye sensor za ndege yao nini kinakufanya uamini Israel wameshaimaster ndege husika na tayari inaweza kutumwa kwenye mission kama unayoinukuu kwenye jarida lako la mwarabu?
Hii ni Jf, tujitahidi kuja na kichwa sio moyo na imani tunapokuja kuchangia topic ngumu kama hizi.. Kila anaekupinga una mquote na kagazeti kako ka mwarabu, hivi kuwait wana ata jeshi la anga! Haya mambo wameyajulia wapi?
Yas....we hukusikia wananchi walipiga sherehe baada ya Qassimu suleiman kuuwawa....Sema wale wachache wanayoisapoti serikali ndiyo waliandamana na ndo wanaoonekana kwenye TV...lakini Trust me Majority ya wairan walisherekea maana yule jamaa alikuwa anawaua kinoma wairan wenzake95% Ni Nini? Ina maana Kama wairan wako Mia ,95 hawaikubali serikali