Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

Paka Israel aondoke kwenda kukuuwa leo ujuwe pingine amekufatilia nyendo zako ata miaka 5 kila siku akitafuta upenyo wa kukushusha futi sita na siku akipata lazima uondoke ata ukuwa nani

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
Hiyo haikuwa clean kill,ingekuwa CIA tungesikia mtu kaondoka na heart attack au cancer ,huwezi ukamfuatilia mtu kwa labda mwaka mzima halafu operation iwe kiwango cha chini hivyo,ndo maana wengine wanadhani ni kundi la MEK au saudi intelligence ndo wame undertake hiyo operation,kwani hata main target amefia hospital na sio eneo la tukio,,inasemekana washambulizi watatu nao waliuliwa on the spot
 
Trump/Natanyahu/Mossad/Shin Bet. Team imetimia.
Screenshot_20201127-204806.png
 
Aisee. Serikali inafeli wapi kuwalinda wataalamu wao wa hali ya juu namna hiyo?

Serikali ya Irani inakwama wapi sijui ?? Watu potential kama hao walipaswa kupewa convoy za kuwa escort alfu pia ishu ya kuwaweka hadharani hawa wataalamu wao wa nyuklia itawagharimu sana ukizingatia na maadui wao walivyo smart.
 
Itakuwa alikuwa kapunguziwa ulinzi,maana alikuwa retired,hakuwa na convoy,,wanasayansi wa iran wanaishi ndani ya ngome,,huyo alikuwa figurehead tu,,hakuwa mshika supana na kiuhalisia hakuna effect yeyote itakuwepo kwenye programs za iran,
Lakini israel wanasema kifo cha huyu mzee kimeirudisha nyuma sana iran,kana kwamba huyo mzee ndo alikuwa fundi makanika mkuu wa kutengeza nuclear,
Lakini hata kama alikuwa kastaafu,,iran wanaonyesha uzembe sana katika kuwalinda viongozi wao
 
Wale jamaa hawawezi kutageti mahali wanapoona hakuna potential. Zingine zitabaki stori tu kuwa hakuwa mshika spana. Imgekuwa hivyo serikali isinge apa kulipa kisasi
 
Eti akiwa kwenye Nissan fuga,? Ni wataalam kweli hawa wa Nuclear?
We jamaa wewe una matatizo, unadhani ni hizi fuga zetu zilizotengenezwa 2005 huko, vipi kama ni nissafuga ya 2018/19 ama 2020..

Bei ya 0 km unajua ni sh ngaoi chief?!?
 
Wale jamaa hawawezi kutageti mahali wanapoona hakuna potential. Zingine zitabaki stori tu kuwa hakuwa mshika spana. Imgekuwa hivyo serikali isinge apa kulipa kisasi
Wale wayahudi ni watu wa visasi sana,halafu wanakua na raha sana wakiua adui,hawa jamaa walukuwa wanawasaka hata wasaidizi wa hitler miaka 30 baada ya hitler kufa bila kujali gharama,yaani raha yao wakuue uliyewapa headaches siku za nyuma,lengo kuu ni kuinflict fear kwa wengine ili usiende agaisnt interest zao,,hao wako tayari kumshoot hata rais wa marekani iwapo wakipata upenyo,kama tu wataona anawawekea kauzibe
 
Mimi sioni mshindi katika myukano huo maana huyo mwanasayansi 1 amekufa wa pili wake anapanda cheo labda walipue mitambo wanayotengenezea na kwa ilani naona wameshaizowea hali hyo coz cyo mwanasayansi wa kwanza kuliwa na hao inviseble killers wa kidon
 
nchi ya iran uwezi ilinganisha na nchi yoyote Africa kwa uchumi japo wapo ndani ya sanctions kwa muda mrefu.
wakati sie tuna nunua Dream line moja na kuhimizana viongozi na wananchi kwenda kuipokea, Iran ye alikuwa ameweka oda ya Boeing zaidi zaid ya 20,Ila kwasababu ya vikwazo wenye mali wakakataa kuwauzia.
Walitaka kununua ndege 100
 
Mimi sioni mshindi katika myukano huo maana huyo mwanasayansi 1 amekufa wa pili wake anapanda cheo labda walipue mitambo wanayotengenezea na kwa ilani naona wameshaizowea hali hyo coz cyo mwanasayansi wa kwanza kuliwa na hao inviseble killers wa kidon
Mbona mitambo ya nataz ilishalipuliwa
 
Mossad ilianza tangu siku ile wa Israel walitoka utumwani. Na majasusi wa kwanza wa Mossad walikuwa Caleb na Joshua walipenetrate kuta kubwa na ulinzi mkali wa Jericho.

'Ukimbariki, kumtetea na kumlinda Israel popote pale utabarikiwa. Kinyume na hapo utalaaniwa wewe na kizazi chako chote'. MUNGU mwenyewe!
Ww jamaa acha kuchanganya madesa,
Caleb na Joshua hawakuwa kwenye timu ya kijasusi ya kuipeleleza Jericho

Joshua ndie aliyewatuma vijana wake huko na wakapenya katikati ya ngome nzito za huu mji na kurudi salama wakiwa na nyaraka nzito za kiintelijesia

Tafsiri ya nyaraka ikaonesha kwamba kwamba kwa nguvu zao za kijeshi pekee, hawawez kupigana against waYeriko, hasa sbb ya zile kuta nzito

Wakamuendea Mungu kuomba msaada, kilichofanyika ni zile kuta kuanguka na Israel kushinda kirahisi sana
 
Back
Top Bottom