ANGALIA UANDISHI WAKO KUWA MAKINI....KICHWA CHA HABARI NA HABARI YENYEWE GONGANAInadaiwa kigogo huyo hatari kwa Usalama wa Taifa Teule la Israel ameuawa kupitia Operesheni Maalumu ya Mossad
Mwendazake huyo alijulikana kwa Jina la Mohsen Fahrizade
Taifa la Israel litaendelea kujitetea dhidi ya njama ovu zenye nia ya kuliangamiza Taifa hilo takatifu.
Kwenye hili tukio warabu ni nani kati ya Iran na Israel?Ila maarabu ni maboya sana inakuwaje mtu muhimu kama huyo wanashindwa kumlinda mpaka anakufa kizembe kiasi hicho
Hawa jamaa mossad hawalali 24/7 wako machoDah!...kweli Israel ni dola ya kijasusi, uwepo wake unategemea Sana ufanisi wa idara zake za kijasusi.
STRUGGLE MAN na Bwana Utam hawaonekani jamvini siku hizi sijui walishapataga pressure.Hawa jamaa mossad hawalali 24/7 wako macho
Ova
Hao wengine walikuwa wanalindwa hadi na jeshi lakini walikuwa wanauwawaAisee. Serikali inafeli wapi kuwalinda wataalamu wao wa hali ya juu namna hiyo?
Kwa hapa bongo anafananishwa na marehemu Tanzania one Kihombo na Muddy PhysicsHuyu jamaa alifahamika kama Iran's Robert Oppenheimer. Akifananishwa na mwanafizikia Julius Robert Oppenheimer wa enzi za Manhattan Project.
Sasa hapo waarabu ni wepi? Muda mwengine tuliza akili kama unavyotuliza makalio wakati wa kukaa!Ila maarabu ni maboya sana inakuwaje mtu muhimu kama huyo wanashindwa kumlinda mpaka anakufa kizembe kiasi hicho
z[emoji52]Daktari Mohsen Fakhrizadeh ambae anasimamia masuala ya Nyuklia Iran, Ameuawa mapema leo baada ya gari aina ya nissan fuga alilokuwa amepanda kupandikizwa bomu na kupigwa shaba kadhaa na mtu aliyekuwa kwenye pikipiki, tukio hilo limetokea katika mji wa damavand, karibu na Tehran.
Mpaka sasa hakuna kikundi kilichojitaja kuhusika, ila Israel imekuwa ikihusishwa na uuaji wa wanasayansi wa Iran, ambapo kati ya mwaka 2010 na 2012 wanasayansi wanne waliuliwa kwa staili kama ya leo.
--------
Top Iranian Nuclear Scientist Fakhrizadeh Assassinated
By IFP Editorial Staff - November 27, 2020
Photos of the assassination scene
Senior Iranian nuclear scientist Mohsen Fakhrizadeh-Mahabadi, a high-profile figure in the country’s nuclear energy program, has been assassinated in Damavand, east of Tehran.
According to several media reports, the scientist was killed on Friday, Nov. 27, 2020, in the Absard region of Davamand.
He was reportedly accompanied by his bodyguard when they were attacked by a “suicide” attacker at the entrance of Absard town.
Fakhrizadeh has been killed by shooting, but before the shootout, his car has been stopped with an explosion at Mostafa Khomeini Blvd. Several others are also reportedly killed in the incident, but haven’t been identified yet.
While Iran’s state TV also confirmed the assassination, Behrouz Kamalvandi, a spokesman for the Atomic Energy Organization of Iran, has denied the reports, saying all nuclear scientists are safe.
Tasnim quotes an informed source as saying that Fakhrizadeh is not dead yet and is under treatment in operation room. Efforts are underway to treat him and one of his companions
A Professor of physics at the Imam Hussein University, he was a senior scientist at the Iranian Ministry of Defence and Armed Forces Logistics.
No one has yet claimed responsibility for the assassination, but the Israeli regime has a dark history of hiring hit men to assassinate nuclear scientists and intellectuals in Iran.
Four Iranian nuclear scientists were assassinated by the Israeli regime between 2010 and 2012. According to Western intelligence agencies, the acts of terror were carried out by Israeli agents, an accusation Israeli officials never admit.
View attachment 1636103
Hao watu walitakiwa kuishi kambini sio uraiani,kwasababu watu wanaanza kuwasuivey hata kwa mwaka mzima unakuta nyendo zake tayari wanazijua,bodyguard kama bodyguard hawezi kusaidia kwa lolote kama majasusi wamekusudia kukuondoaAisee. Serikali inafeli wapi kuwalinda wataalamu wao wa hali ya juu namna hiyo?
Kidon washafanya kazi yaoDaktari Mohsen Fakhrizadeh ambae anasimamia masuala ya Nyuklia Iran, Ameuawa mapema leo baada ya gari aina ya nissan fuga alilokuwa amepanda kupandikizwa bomu na kupigwa shaba kadhaa na mtu aliyekuwa kwenye pikipiki, tukio hilo limetokea katika mji wa damavand, karibu na Tehran.
Mpaka sasa hakuna kikundi kilichojitaja kuhusika, ila Israel imekuwa ikihusishwa na uuaji wa wanasayansi wa Iran, ambapo kati ya mwaka 2010 na 2012 wanasayansi wanne waliuliwa kwa staili kama ya leo.
--------
Top Iranian Nuclear Scientist Fakhrizadeh Assassinated
By IFP Editorial Staff - November 27, 2020
Photos of the assassination scene
Senior Iranian nuclear scientist Mohsen Fakhrizadeh-Mahabadi, a high-profile figure in the country’s nuclear energy program, has been assassinated in Damavand, east of Tehran.
According to several media reports, the scientist was killed on Friday, Nov. 27, 2020, in the Absard region of Davamand.
He was reportedly accompanied by his bodyguard when they were attacked by a “suicide” attacker at the entrance of Absard town.
Fakhrizadeh has been killed by shooting, but before the shootout, his car has been stopped with an explosion at Mostafa Khomeini Blvd. Several others are also reportedly killed in the incident, but haven’t been identified yet.
While Iran’s state TV also confirmed the assassination, Behrouz Kamalvandi, a spokesman for the Atomic Energy Organization of Iran, has denied the reports, saying all nuclear scientists are safe.
Tasnim quotes an informed source as saying that Fakhrizadeh is not dead yet and is under treatment in operation room. Efforts are underway to treat him and one of his companions
A Professor of physics at the Imam Hussein University, he was a senior scientist at the Iranian Ministry of Defence and Armed Forces Logistics.
No one has yet claimed responsibility for the assassination, but the Israeli regime has a dark history of hiring hit men to assassinate nuclear scientists and intellectuals in Iran.
Four Iranian nuclear scientists were assassinated by the Israeli regime between 2010 and 2012. According to Western intelligence agencies, the acts of terror were carried out by Israeli agents, an accusation Israeli officials never admit.
View attachment 1636103
Inaonekana high profiled and uncleared people hawana ulinzi wakutosha kiteknolojia mpaka kimazingira, alafu ndio washindane na taifa kubwa Marekani?🤓🤓Ila maarabu ni maboya sana inakuwaje mtu muhimu kama huyo wanashindwa kumlinda mpaka anakufa kizembe kiasi hicho