david mkwizu
Member
- Jul 31, 2011
- 29
- 9
mama mmoja alimpeleka mwanae hospitalini ili dokta akamfanyie uchunguzi na kubaini ni nini kilichofanya awe na uvimbe tumboni
ilmchukua dokta sekunde mbili tu kugundua na kusema.."mama hebu usinishangaze inamaana hujui kua mtoto wako anamimba..!?.. mwanao ana mimba..!"
mama akaja juu na kuanza kumwambia dokta.." mwanangu ni mtulivu wala hua hajichanganyi na wanaume haiwezekani akawa na mimba labda wewe ndio hujui kazi yako vizuri ya udaktari..!"
ghafla dokta akageukia kwenye dirisha akiangalia upande wa mashariki jua lianapotokea....
mama akawa na hasira zaidi akamwambia.."acha kuangalia dirishani inamaana ninachoongea hapa wewe hukitilii maanani"
dokta akamwambia mama..."mara ya mwisha hicho kitu kilipotokea ilionekana nyota upande wa mashariki na wakaja mama~jusi... sasa ninasubiria labda waje ili tuweze kupeana mawazo kua aliempa mimba mwanao ni nani..?