Maria Roza
JF-Expert Member
- Apr 1, 2009
- 6,797
- 1,567
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo wakati wa ukombozi ni sasa :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
dogo fyadema tupu
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo wakati wa ukombozi ni sasa :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Si mchezo...
nchi za watu hii ni child abuse,kitoto unaki brainwash matokeo shule kinashindwa
Mhh nchi gani hebu nifafanulie??
ni ujinga mtupu....
mtoto anatakiwa akue bila influence ambazo zitamfanya
asiwe huru kuamua mambo yake mwenyewe
kuwahusisha watoto na siasa ni upumbavu mno
switzerland,hapo kuna grounds za wewe kuwa answerable for whilst in full knowledge leading a minor astray
Mweh una undugu na Mbowe???
chipukizi na makamanda watoto wa ccm ni nini?
Mwambie KIKWETE ajipeleke mwenyewe mahakamani kwa kumpeleka mtoto wake wa miaka nane kugombea ukamanda wa chipukizi wa CC taifa!!!
Pumbafu kabisa!!!
Huu ni upuuzi wa hali ya juu kama nijutiavyo siku zangu za chama cha jenga nchi. Kwanini tusimwache aamue. Ikitokea CDM ikamomonyoka, inamaana na confidence ya mtoto inaondoka. Yaani lolote litakalofanywa na CDM, dogo atahusika. Kwanini tusimwache mtoto awe mtoto? Huko shuleni kwake kuna walimu CCM, mtaani nk.
Yaani matatizo yetu ya rushwa na mifumo ya hovyo sasa hivi tunaanza kuwarithisha watoto. CCM wanafanya ndio, lakini je tunastahili kuiga?