Tutajie hizo nchi! Vinginevyo wewe utakuwa MUONGO!
Pole sana huku tunapeta
ni ujinga mtupu....
mtoto anatakiwa akue bila influence ambazo zitamfanya
asiwe huru kuamua mambo yake mwenyewe
kuwahusisha watoto na siasa ni upumbavu mno
Khaaa wana ccm bwana, em yaone yalivyo roho mbaya kama sura ya wasira. Chadema oyeeeee dogo nataman nikulipie hada cjui nikupataje.?
Mwana umleavyo ndivyo akuavyo wakati wa ukombozi ni sasa :mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah::mwaaah:
du huyu si mtoto wa bujibuji kweli manake hilo bichwa kama yeye kafanana nae sana
Hapana ni wakwangu :mwaaah::mwaaah::mwaaah:
si inawezekana wewe Maria Roza ni mke wa mh Mnyika...maana mtoto anfanana ajabu!
Khaaa wana ccm bwana, em yaone yalivyo roho mbaya kama sura ya wasira. Chadema oyeeeee dogo nataman nikulipie hada cjui nikupataje.?
Nawashangaa sana magamba, huko ulaya au US watu wanawavalisha watoto wao jezi za timu zao za basket au football hawasemi.Kuona dogo anaota kupambana na magamba in future wanaona nongwa.
Dogo kapendeza kinoma-moyo wa kimapinduzi na maadili hujengwa toka umri mdogo! Big up Maria Roza!