Mwanangu kipenziiiii

yaani agenda kubwa
ya wapumbavu wa chadema ni ccm tu basi

kazi yao ni kusubiri ccm wafanye hivi na kupinga au kuiga
basi ,ni upumbavu ulioje

hamuwezi nyinyi to set the standard????????????????????
 

Myopic!!!
halafu rudi kijijini na wewe pia.
mnaogopa nini?
 
CCM haikuwa hivyo na CDM haikuwa hivyo na haitakuwa hivyo milele. Tuwaache watoto wawe watoto though the issue is debatable. Kule west wao wanatumia saana group za youth lakini kwetu ni too much watoto ndio wanaotumika. Inasikitisha saana.. Kama ni muelewa na unargue kwa kutumia akili. Soma hii article hapa.
 

Attachments

yaani agenda kubwa
ya wapumbavu wa chadema ni ccm tu basi

kazi yao ni kusubiri ccm wafanye hivi na kupinga au kuiga
basi ,ni upumbavu ulioje

hamuwezi nyinyi to set the standard????????????????????

so, you sya!!

rudi kijijini wewe!!!
usione aibu!
 
Myopic!!!
halafu rudi kijijini na wewe pia.
mnaogopa nini?

urudi kijini wewe
ambae maisha yamekufanya uwe na chuki na kila mtu
anaepingana na wewe
wenzio maisha sio magumu kiasi hiko
hatuhitaji kuwafanya watoto wetu wawe exstremist na siasa za kipumbavu

watoto wana enjoy utoto wao
 
Unargue kitoto kweli yaani kwakuwa CCM wanafanya basi kila mtu afanywe. Kweli uwezo wako ni zero. Waambie watu wote, watoto waache wafurahie maisha yao ya utoto.
 


haelewi huyu
ni fanatic kama walivyo chadema wengi
hajui hata haki za watoto
 
so, you sya!!

rudi kijijini wewe!!!
usione aibu!
next time argue with points dont shout-wakati watu wanadrill points katika grey matter yako,just inhale and in a gentleman manner say thank you-ubishi for the sake of showing that u is a force to reckon with will do you no good,sana sana u will end up in a lunacy asylum
 

Si mwanangu wewe kinakuuma nini???:becky::majani7:
 
Matusi ya ccm na cdm yameanza....he he he mama usijeukashangaa huyo mtoto akija kuwa mwanaccm baadaye...
 
Matusi ya ccm na cdm yameanza....he he he mama usijeukashangaa huyo mtoto akija kuwa mwanaccm baadaye...

Hahah haha mwana umleavyo ndivyo akuavyo bwanaaa:mwaaah::mwaaah::mwaaah:
 
Tulivalishwa mashati ya kijani, suruali nyeusi na skafu za njano tukaitwa chipkizi kazi yetu ilikuwa kushusha bendela, kuimba nyimbo, kupiga kwata, kupokea viongozi wa chama na serikali na kuokota mipira uwanjani kwani hii imetuathiri nini? acha mtu amvishe mtoto wake anachotaka yeye. Kwa ufupi mtoto amependeza saaaana!
 
Hee, huyu dogo ni mtoto wa John Mnyika?!!
 
Halafu akianguka darasa la nne na kidato cha nne watu waseme shule za kata, kumbe kila wakati anawaza kutembea kikakamavu ingawa haelewi maana yake.
 
Hapana ni wakwangu :mwaaah::mwaaah::mwaaah:
Hongera MR!!
Mtoto kapendeza balaa. Zinapatikana wapi nami nmnunulie wa kwangu?? Mambo ya kupiga jezi za kijan na manjano yamepitwa na wakati.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…