Mwanangu Kim Jong Un

Kwani israel ameishawahi fanikisha kuingia bongo na kufanya chochote??hii ina maana kwamba bongo tuko vyema sana sio???

Watu hawaingii kuchunguza ya huko, vip tunajua sasa kwamba kamuua mjomba wako, kaka yake na anatumia kompyuta zake???
Mkuu nakuongezea na hii ujue uwezo wa Korea Kaskazini:
North Korean hackers were behind a recent series of major cyber attacks

Politics-bi: The US has been conducting a secret cyberwar against North Korea"s nukes — with surprising results

U.S. Hacked North Korea Before North Korea Hacked U.S.
 
Mwanao namfagilia sana sema tu watu wengi wapo upande wa Marekani kutokana na shida tu vinginevyo dogo yupo sahihi kwa kile anachokiamini, hapo kitakachofanyika Marekani atabweka tu na hatafanya kitu chochote maana Russia na China mpaka sasa hawapo upande wake na angalau China anataka njia ya mazungumzo zaidi
 
Natamani hii vita ikianza ingekuwa inaonyeshwa live,yani iwe kama series vile ...
 
USA anatabia ya kupandikiza, mamluki, lakin Korea hajafanikiwa kuwapanda, angalia Iraq, Libya, sirya, lakin n Korea, wapo wenyewe, USA atakwama
 
Pia Huyo dogo amesoma Sweeden na mashushu awakujua Kama ni mtoto WARaisi wakorea kaskazini. Mpaka baba yake alipofariki Ndio kupewa uraisi Ndio roommate wake akajua Kuwa jamaaa ni mtoto WA mkubwa Ndio dunia ikajua
Amesoma sweden chuo gani?ebu tuanzie na hapo kwanza
 
Wa N.korea raia wake siyo wanafiki yaani ni wazalendo balaa, Hapo raia wanatamani rais wao akinukishe..... Marekani anamzidi N.korea kwa propaganda tu hamna kitu kingine.....
North Korea ndio nchi pekee duniani raia wake wanaoishi kinyonge kuliko taifa lingine lolote lile duniani extreme communist country,raia wa North Korea haruhusiwi kutoka nje ya North Korea kwasababu yeyote ile wala hatakiwi kuwasiliana na mtu toka nje ya nchi yake,watu wote wanavaa nguo sare,viatu sare,hamna hata raia mmoja anaeruhusiwa kumiliki gari,magari yote ni mali ya serikali tu,kunyongwa ni adhabu ya kawaida sana North Korea,kwa kifupi raia wake hawajui ni kitu gani kinachoendelea nje ya nchini kwao,zile picha za majengo mazuri ni kaeneo kadogo tu ka north korea km mnazi mmoja hv kanakotumiwa kupiga picha za propaganda kuionyesha dunia kuwa north korea iko hivyo lkn ukweli ni kuwa north korea nzima umeme upo kwenye makazi ya mkuu wa nchi tu,chakula watu wote wanakula cha aina moja maisha yao ni zaidi ya jela,miaka ya 1960s na 70s north korea ilikopeshwa magari aina ya volvo na Sweden lkn iligoma kuyalipa hadi leo magari yale bado yanatembea north korea
 
Huyu dogo huwezi kumfananisha na Sadam au Gadaff, huyu ni machine nyigine kabisa maana anaweza vuruga ukanda wote wa Korea na Japan kwa technolojia aliyonayo.
Technilojia bila pesa marekani hawakurupuki sio kama tanzania
 
Umeharibu na kujidhalilisha kwa kusema Mwafirika ana low iq.Hiyo ni Mental Slavery ndugu
 
Mkuu unamshauri au unamtisha?
anamuambia ukweli. korea hawezi kupigana na mmarekani. tuwe wa kweli tu. naamini siku amerika akiamua mazima huyo pyongyan atajaribu kila silaha itamgomea. kila kitu kitakuwa frozen na hatoamini. lakini ngoja tusubiri.
 
mmh! siku mmarekani akipigwa nitafurahi sana yaan karibu maamuzi yote ya nchi za africa wanaamua wao. Resources zetu wamechukua wao madini, mashamba nk na nchi yeyote ikijitutumua kutaka kuzuia unyonyaji wao serikali iliyopo madarakani inapinduliwa. yaan Kwa kweli unyonyaji wao unachosha
 

Bora yao wanavaa viatu sare na nguo sare lakini zaidi ya miaka 50 wanajitegemea na wanatengeneza silaha zao. Sisi tunaobadilisha nguo na viatu tunashindwa hata kutengeneza bomu la kutupa kwa mkono..
 
anamuambia ukweli. korea hawezi kupigana na mmarekani. tuwe wa kweli tu. naamini siku amerika akiamua mazima huyo pyongyan atajaribu kila silaha itamgomea. kila kitu kitakuwa frozen na hatoamini. lakini ngoja tusubiri.
Usijidanganye kwa nguvu za giza
 
Rekebisha hapo unaposema hafanyi biashara na nchi yoyote. China ni mnunuzi mkuu wa makaa ya mawe (coal) ya N.K
 
Mkuu unamshauri au unamtisha?
Tatizo mshauri anatoa mifano saizi ndogo sana! Huwezi kulinganisha Saadam Hussein au Gadafi na dogo wa Mapank! Dogo ana makombola ya nuklia! Dogo yuko fiti kwenye cyber war! Marekani alipobeep dogo kajiandaa kupiga! Ndo maana MTU mzima kaamua kusepa! Kaona aheri aibu ya kusepa kuliko fedheha ya kuchezea kichapo!
 
Hana cha kupoteza huyu kishasema.
 
Mkuu unamshauri au unamtisha?
.....Jamaa KUNGURU huyo...
Hana upande...Maana naona anauma na kupulizia...

JIAMINI NDUGU.....!! Kama ndio ungekuwa USHAURI huo unampa dogo wa KIDUKU....Angekuwasha BASTORA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…