Mwanangu Kim Jong Un

Mkuu naungana na wewe,leo nilijaribu kugoogle ili kupata ABC za Korea zote yaani ile ya Kusini na Kaskazini.
Nilishangazwa kuona kwamba ni nchi ya KWANZA duniani kuwa na Military Personnel wengi. Kwamba pamoja na kuwa na jeshi kamili la watu kama 1.2million,lakini wapo kwa ujumla wao Million9 ambapo hakuna nchi yoyote duniani ina kiasi hicho.Hivyo pamoja na kwamba US na NATO(maana lazima nae akianzisha US nao NATO waunge mkono) wanaweza kushinda,lakini madhara yatakayopatikana ambayo hayana ulazima yatakua makubwa. Kufananisha Korea na Wanafiki wa Uarabuni ni kuitusi Korea.
 
Aisee. Ila Marekani wapuuzi wacha washikishwe adabu na panki.
 
Hili la Korea Kaskazini kuwa mabingwa wa kuingilia mifumo ya Komputa za US nililisikia sana hata BBC walitangaza.Halafu mtu anaandika kufanya comparison eti Korea na Iraq au Libya!
 
Pamoja na kutengwa na Dunia kwa za zaidi ya nusu karne N korea wameweza kuendelea zaidi na zaidi wakorea siyo wanafiki kama WAARABU NA WAAFRIKA ni wazalendo kwa nchi yao leo sisi hapa pamoja na kujitawla lakini tumeshindwa hata kutengeneza sindano tu Kingine mnachosahau Markani na ubabe wake wote hana record nzuri ya kushinda pekee yake Vietnam pamoja na kwamba ilijaribu kugawanyika lakini alipigwa akaamua kusarenda na nchi imesimama mpaka leo hii
 
Hivi unashindwa kusema tu kuwa Mim ni Muislam simpendi Mu-US kuliko kutuandikia uongo... Arabs nations US kamaliza choka mbaya Afghan, Parks, Somalia, Libya, Syria au unajitoa fyuzi Kama Ccm
Uislamu tena unahusikaje kwenye hii mada jamani!
 
niljaribu kuwaza kwa sauti hv ikitokea mmarekani akatumia nguvu kubwa pale vita itakapo anza na n.korea si atawapa nafasi urusi na china baba yao na n.korea kumchapa sasa hapo ndipo atakapo changanyikiwa yani apigane na mtoto n.korea baba urusi ba mdogo china yani arushe makombora nchi tatu kwa pomoja nawenyewe huku wakujibu na kuisogelea marekani Zaidi na atakapo thubutu kurudisha majeshi nyumbni wakapigane na kujilinda Zaidi atakuwa amafanya kosa kubwa mno ataandika historia ya kupigana kwenye ardhi yake mwenyewe akichangiwa na nchi tatu nmewaza tu kwanguvu wataalamu wa mambo ya vita wanisaidie kwa hili
 
Kwani israel ameishawahi fanikisha kuingia bongo na kufanya chochote??hii ina maana kwamba bongo tuko vyema sana sio???

Watu hawaingii kuchunguza ya huko, vip tunajua sasa kwamba kamuua mjomba wako, kaka yake na anatumia kompyuta zake???
Hahaa ...
Mkuu kwani wabongo tumewahi kuwawezesha adui wa israel uwezo wa kumiliki sila za kuwaangamiza waisrael? North Korea amekuwa mshirika mkubwa wa mipango ya silaha za masafa marefu wa baadhi ya nchi adui za Israel mfano Iran. Israel haendi kugombana na mtu bila sababu au kuwa kitisho kwa ustawi wa taifa lao. Sisi sasa tuna ushirika na Israel je N.korea wanaukaribu huo na Israel?
Ni rahisi tu kujua kwamba jamaa wanatumia OS yao, kwa sababu kama hawatumii OS zingine lakini bado wanatengeneza au wanatumia computer tena very sophisticated enough to hack American giant fame like SONY back then 2014, there is no magical formula nor black box theory out of this, we have facts on our plain eyes. Very simple logic will lead to this conclusion. You don't have to send spies to obtain this fact. Tafadhali kusanya taarifa za kutosha unapotaka kutengeneza hoja juu ya habari hizi za uwezo wa kivita au intelligence za N.Korea.

NB: North Korea anajulikana kama msambazaji mkubwa wa silaha za hatari kwa nchi Korofi(kwa mtazamo wa Western Countries) ambazo zinatishia ustawi au uwepo/uhai wa taifa la Israel basi moja kwa moja hao ni adui wa israel. Kanuni ya asili ni hiii "Rafiki wa adui yangu ni adui, na Adui wa rafiki yangu ni Adui na Adui wa Adui yangu ni rafiki yangu"
 
Mfalme ambaye anamyima usingizi US ni Russia.. Vita ya US na Russia ni sawa na Vita ya US vs Rest of the world ..
 
Vitu kama hivi ndio kaka yangu BAK hataki kuvisikia.
 
Wachambuzi wanafiki wa jamii forum muache uongo jamani,hakuna anayeijua USA zaidi ya trump.sasa yeye kashasema kwamba yeye peke ake anaweza kuishuha hiyo Korea,sasa ninyi na uchambuzi wenu butu mnaanza kumbishia???hebu kuweni serious jamani,waacheni wenyewe mahasimu msiwasemee
 
In terms of Cyber arsenal or Cyberwar, Cyber attack and whatever ....The following countries have the most hackers in the world. Top 10

1.China
2.US
3.TURKEY
4.RUSSIA
5.TAIWAN
6.BRAZIL
7.ROMANIA
8.INDIA
9.ITALY
10.HUNGARY
source. Cyware newsletter

According to Infoworld :
Who's the best in Cyberwar? They say the real answer in unknown because to be a good hacker you have to be invisible. The best hacker are the one's we don't see and don't know about. Nchi nyingi Katika Cyber zikudukua zunadakwa Ujue uwezo wa ku-hack ni mdogo mno. But on that case US run on no. 1 sport interms of best Cybersystems.. You won't know how US hacked but you will hear that dozens of Russians catched for hacking..
 
Habari za humu ni za kuvutia njaa wakati mama anapika jikoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…