Mkuu ile mimi ndo niliona njia sahihi msumbufu sana yule...wewe kweli Wakuacha kama lilivyo jina lako.
yaani pesa ipite kwa mama yako ndo ifike kwa mzazi mwenzio?
hivi siku ulipokuwa unam-mimba huyu dada mama yako alikuwepo ama alijua?
kwann usitafute njia nyingine nzuri zaid na ili asimlee mwanao kwa jeuri na kiburi kuliko hii?
ukweli nakufungulia uzi aisee
njia ya kumtumia mama yako?Mkuu ile mimi ndo niliona njia sahihi msumbufu sana yule...
Hiyo ndo njia sahihi mimi sitaki hata namba yake ya cm....kabisa njia ambayo itanifanya hata sura yake tu niione sitaki.njia ya kumtumia mama yako?
hujui wingi wa chuki unaopanda hapo take it from me......
aya bhanaHiyo ndo njia sahihi mimi sitaki hata namba yake ya cm....kabisa njia ambayo itanifanya hata sura yake tu niione sitaki.
Mama ake ......Mwanao pia hutaki ona sura yake?
Kiswahili hicho "Wastara HAZUMBUKI................"Wahenga walisema wastara hasumbuki,wambili havai moja
Katika hali ya kawaida unaweza kushangaa kwa nini Wakuacha amefanya hivyo( kutuma pesa kupitia mtu mwingine, hasa mama) lakini kuna watu ni wakorofi, naamini maamuzi ya kulea mtoto yanahitaji maamuzi ya vyombo vya kisheria. Some mothers are given custody but they're totally unfit to cater for their offspring.wewe kweli Wakuacha kama lilivyo jina lako.
yaani pesa ipite kwa mama yako ndo ifike kwa mzazi mwenzio?
hivi siku ulipokuwa unam-mimba huyu dada mama yako alikuwepo ama alijua?
kwann usitafute njia nyingine nzuri zaid na ili asimlee mwanao kwa jeuri na kiburi kuliko hii?
ukweli nakufungulia uzi aisee
Heee wewe mbona una kauli nzito hivoKabla hujafungua miguu yako ilibidi ufungue akili yako kwanza sio unazaa tu kama chura halafu watoto wenu mnaanza kuwajaza chuki za kijinga......ujinga wenu ndio unatuletea product za ajabuajabu mitaani
#Mungu aliposema usizini na usishuhudie uwongo hakuwa mjinga
Sio rahisi, umuhimu wa baba ni vivid protection na emotional, Naamini malezi na maisha kiujumla ni zaidi ya pesa,Kama ni mimi,nina kazi yangu na uwezo wa kumlea mwanangu ninao,nisinge hangaika na huyo mwanaume mana ni pasua kichwa
Yani nisingetaka stress zake kabisa,furaha yangu ningeelekeza kwa mwanangu, ningehakikisha nampatia malezi bora kadri niwezavyo
Ila tu akihitaji kumwona mwanae sitamnyima,lakini kumtegemea kwa chochote nisingetaka. Yani kumruhusu asumbue moyo wangu nisingempa hiyo nafasi kabisa
Najua sio rahisi lakini mtu ndio hakutaki kuna haja gani ya kujikunyata na kuendelea kuumia my dear?Sio rahisi, umuhimu wa baba ni vivid protection na emotional, Naamini malezi na maisha kiujumla ni zaidi ya pesa,
I pray nilee watoto na baba yao,I can never underestimate his importance
Malezi ya wawili ni muhimu kuliko tunavyodhani. Upo sahihi kabisa, kuna mifano hai nimeiona katika maisha, japo siwezi kuongea wazi lakini ni vizuri kulea pamoja, anachompa mama sicho anachompa baba(katika nyanja zote)Sio rahisi, umuhimu wa baba ni vivid protection na emotional, Naamini malezi na maisha kiujumla ni zaidi ya pesa,
I pray nilee watoto na baba yao,I can never underestimate his importance