Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,785
- 28,806
Tena ni ugonjwa wa kurithi, kwahyo fuatilia kama familia yenu haina historia ya huu ugonjwa na basi mkeo familia yake ndo upoWakuu Salaam,
Niende moja kwa moja kwenye mada, nina binti yangu wa miaka minne. Hivi majuzi amebainika kuwa na sickle cell kusema kweli nimechanganyikiwa sababu nasikia ni ugonjwa usio na tiba.
Naomba kujua yafuatayo;
1. Ni kweli ugonjwa huu hauna tiba?
2. Kama si kweli, tiba yake ni ipi?
3. Kama hauna tiba nini hatima yake?
Nimenyongea kwa kweli
Sent using Jamii Forums mobile app