Mwanangu ana Sickle Cell, tiba yake nini?

Asante mkuu, umetaja dalili zote vyema kinachonishangaza mama yake na mimi hatuna historia ya kiukoo kuwako kwa ugonjwa huu. Kwa sababu yeye ndiye aliyempeleka hospitali nikamuuliza mbona wote kwetu haupo akasema eti sisi ni carrier.

Mbaya zaidi sijaviona vipimo kwa macho, hata nikimdai document za majibu anadai hakupewa.

Mpaka napata mashaka. Ila dalili ni hizo

Sent using Jamii Forums mobile app
unaweza usione mgonjwa wa Sickle cell kwenye ukoo wenu lakini haimaanishi kuwa unashindwa kuwa carrier, ukiwa carrier ni lazima utalisisha vinasaba hivyo kwa watoto wako na hiyo itaendelea vizazi hadi vizazi, na endapo watoto wako wajukuu wako au vitukuu au vilembwe na kuendelea wakikutana na kuzaa na carrier basi hapo mtoto mwenye sickle cell lazima azaliwe.

Kuna familia zingine unakuta karibia watoto wawili au watatu wote wana Sickle Cell. Na ndio maana Dini na Serikali zinapiga marufuku Ndugu wa karibu kuoana au kuzaa sababu moja wapo ni kuepusha magonjwa ya kurithi kama haya, unakuta watoto wa Mama Mkubwa na Watoto wa Mjomba Chimbuko lao ni Babu na Bibi mmoja, kama kulikuwa na kasoro ya sickle cell kwenye ukoo basi hawa wote lazima wawe carrier na endapo wakioana na kuzaa lazima wazaze watoto wenye sickle cell kwa sababu wote ni carrier... Lakini kuzaa na kuoa ukoo wa mbali unasaidia ku-neutralize au kupunguza haya magonjwa kwa sababu unakuta ule ukoo mwingine hakuna carrier wa Sickle Cell. Hivyo mtazaa watoto wazima, japo mtoto mmoja au wawili lazima naye awe carrier kwa sababu amerithi kutoka kwa mzazi ambaye katoka kwenye ukoo wenye sickle cell...

Hivyo hivyo kwa Ualbino na magonjwa mengine ya kurithi kama kisukari, pressure, Asthma, kansa na kadharika... Japo kisukari, pressure, asthma na kansa muda mwingine inategemea na mtindo wa maisha wa muhusika
 
Hili ni jambo sahihi kwa wakati usio sahihi!! Mama na mtoto obviously watahisi uko na unyanyapaaa!! Tumia hekima na busara katika wakati huu!!
Eti unyanyapaa wafrika mna ujinga mwingi sana vichwani mwenu,wakati anachepuka yeye hakufikiria huo unyanyapaa.
Hivi kwa nini Wafrika hampendi ukweli?
 
Phd yako umesomea wapi?? Ujinga wako unamuhusu nini mtoto wa miaka minne mgonjwa anayehitaji faraja ya baba (no mara waaa)??

Anyway, hekima haiuzwi,
But hata kama inauzwa laki 3 unayo??
 
Atumie mlonge kwenye chakula. Kijiko Kimoja cha chai kwenye chai asubuhi, mchana achanganye kwenye mboga au juice na jioni pia. Itachukua muda ila atapona. Huu ni ushuhuda kwa watoto wa kaka yangu walikuwa nayo toka udogoni ila sasa hivi na boarding wanasoma.
 
Awe na bima tena active mda wote maana hali hubadilika mda wowote, hata saa nane usiku tatizo linaweza kuwa wakati wowote.

Alishauri DNA sisi sijaona umuhimu wake sana maana huenda tatizo lilikuwa kwa babu wa babu yako aliefariki 1950.
 
Atumie mlonge kwenye chakula. Kijiko Kimoja cha chai kwenye chai asubuhi, mchana achanganye kwenye mboga au juice na jioni pia. Itachukua muda ila atapona. Huu ni ushuhuda kwa watoto wa kaka yangu walikuwa nayo toka udogoni ila sasa hivi na boarding wanasoma.
Mronge ni bonge moja la dawa nishasikia kwa watu wengi sana ushuhuda wa mronge unatibu magonjwa mengi sana!!
Mtoa mada usipuuze hili👆!
 
Alishauri DNA sisi sijaona umuhimu wake sana maana huenda tatizo lilikuwa kwa babu wa babu yako aliefariki 1950.
Wanashauri DNA kiushabiki tu. Angalau waseme sickling test. Ili mtoto apate ugonjwa huu lazima baba na mama wana trait. Mleta mada hakusema wamepima chochote. Maelezo yake ni kwamba hakuna historia ya ugonjwa huu.
 
Wakuu Salaam,

Niende moja kwa moja kwenye mada, nina binti yangu wa miaka minne. Hivi majuzi amebainika kuwa na sickle cell kusema kweli nimechanganyikiwa sababu nasikia ni ugonjwa usio na tiba.

Naomba kujua yafuatayo;
1. Ni kweli ugonjwa huu hauna tiba?
2. Kama si kweli, tiba yake ni ipi?
3. Kama hauna tiba nini hatima yake?

Nimenyongea kwa kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazini kwetu kuna dada ana huu ugonjwa
Ana miaka 27 na ana mtoto.

Hivyo matumaini yapo.

#YNWA
 
Mashaka Gani unapata jamaa angu
Mwanzo mashaka yangu ni kwamba mtoto hana huo ugonjwa ila kwa dalili naona anao, nina sababu kwanini nilihisi hana ugonjwa maana kuna tafrani tuliingia so nikadhani kukwepesha mama akaona aseme anao.

Mashaka ya pili wameniongezea hapa wakulungwa, ila kananipenda acha niishi nako tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unaweza usione mgonjwa wa Sickle cell kwenye ukoo wenu lakini haimaanishi kuwa unashindwa kuwa carrier, ukiwa carrier ni lazima utalisisha vinasaba hivyo kwa watoto wako na hiyo itaendelea vizazi hadi vizazi, na endapo watoto wako wajukuu wako au vitukuu au vilembwe na kuendelea wakikutana na kuzaa na carrier basi hapo mtoto mwenye sickle cell lazima azaliwe.

Kuna familia zingine unakuta karibia watoto wawili au watatu wote wana Sickle Cell. Na ndio maana Dini na Serikali zinapiga marufuku Ndugu wa karibu kuoana au kuzaa sababu moja wapo ni kuepusha magonjwa ya kurithi kama haya, unakuta watoto wa Mama Mkubwa na Watoto wa Mjomba Chimbuko lao ni Babu na Bibi mmoja, kama kulikuwa na kasoro ya sickle cell kwenye ukoo basi hawa wote lazima wawe carrier na endapo wakioana na kuzaa lazima wazaze watoto wenye sickle cell kwa sababu wote ni carrier... Lakini kuzaa na kuoa ukoo wa mbali unasaidia ku-neutralize au kupunguza haya magonjwa kwa sababu unakuta ule ukoo mwingine hakuna carrier wa Sickle Cell. Hivyo mtazaa watoto wazima, japo mtoto mmoja au wawili lazima naye awe carrier kwa sababu amerithi kutoka kwa mzazi ambaye katoka kwenye ukoo wenye sickle cell...

Hivyo hivyo kwa Ualbino na magonjwa mengine ya kurithi kama kisukari, pressure, Asthma, kansa na kadharika... Japo kisukari, pressure, asthma na kansa muda mwingine inategemea na mtindo wa maisha wa muhusika
Kuna kitu umeniongezea hapa

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atumie mlonge kwenye chakula. Kijiko Kimoja cha chai kwenye chai asubuhi, mchana achanganye kwenye mboga au juice na jioni pia. Itachukua muda ila atapona. Huu ni ushuhuda kwa watoto wa kaka yangu walikuwa nayo toka udogoni ila sasa hivi na boarding wanasoma.
Nimechukua hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom