Wamenigongea mtoto wangu asubuhi hii anavuka kwenda shule akiwa kwenye zebra, magari yote yamesimama lakini yeye akajifanya ana haraka sana akaunga na baada ya kumgonga akataka kukimbia. Sasa hapa tupo hospital, tukitoka hapa huyo jamaa nitamshughulikia mi mwenyewe, nna hasira nae sana.
Pole sana mkuu ila punguza munkari acha sheria ichukue mkondo wakeWamenigongea mtoto wangu asubuhi hii anavuka kwenda shule akiwa kwenye Zebra, magari yote yamesimama lakini yeye akajifanya ana haraka sana akaunga na baada ya kumgonga akataka kukimbia.
Sasa hapa tupo Hospitali, tukitoka hapa huyo jamaa nitamshughulikia mi mwenyewe, nna hasira nae sana.