Mwanangu amegongwa na Pikipiki

Mwanangu amegongwa na Pikipiki

bora kagongwa na pikipiki kuliko angegongwa na mwenye pikipiki
 
Pole sana

Pikipiki ni majanga

Nilishuhudia mmoja alimwingiza abiria wake chini ya uvungu wa prado (yeye mwenyewe aliruka) kwa kujifanya ana haraka kupita wakati magari yamesimama kumpisha aliyekuwa anatokea barabara nyingine

Umenikumbusha mbali sana! nakumbuka 2010 bodaboda aliingia uvunguni mwa semi-trela akiwa amempakisha dada mmoja yule dada alipasuka vibaya sana walizomba vipande vya nyama pale chini kwa ndoo!
 
Halafu tatizo la hawa bodaboda, wao jata njia panda hawapunzi mwendo, wanachomoka tu! Pole sana mkuu. sijui mtoto anaendeleaje mpaka sasa?
 
eeeh hii kali yaani baba mtu mwanao kagongwa na pikipki jamii forum ndyo kimbilio jamani tumeisha, ni mtazamo tu bro, kuna mambo mengi ya msingi ya ku share na watu sio kila tukio la nyumbani kwako nasi tulijue.

Mkuu ni jukwaa mojawapo ya kuelimisha jamii, bodaboda ni usafiri wa public na barabara nako tunatumia wananchi wote kwa ujumla ni mambo ambayo yanagusa jamii nzima. Kwa hyo yuendelee kujulishana na kuelimishana!
 
Aisee

Imasikitisha sana

Umenikumbusha mbali sana! nakumbuka 2010 bodaboda aliingia uvunguni mwa semi-trela akiwa amempakisha dada mmoja yule dada alipasuka vibaya sana walizomba vipande vya nyama pale chini kwa ndoo!
 
Halafu tatizo la hawa bodaboda, wao jata njia panda hawapunzi mwendo, wanachomoka tu! Pole sana mkuu. sijui mtoto anaendeleaje mpaka sasa?

Dogo sasa hivi yuko vizuri shukurani kwa Mungu
 
Umenikumbusha mbali sana! nakumbuka 2010 bodaboda aliingia uvunguni mwa semi-trela akiwa amempakisha dada mmoja yule dada alipasuka vibaya sana walizomba vipande vya nyama pale chini kwa ndoo!

Mh..... Ni masikitiko makubwa kwa kweli
 
pole sana mkuu kuwa na moyo wa subira katika kipindi hichi.
 
Pole sana kwa ajali hiyo ya mwanao, hakuna mwenye leseni halali na kama aliipata hajui utaratibu na nidhamu za kuendesha, msamehe bure ila iachie serikali imhukumu

Wengi sheria za matumizi ya barabara hawazijui, mtu anajifunza kuendesha asubuhi na jioni unakuta kapakiza mtu!
 
pole sanaa mkuu usijichukulie sheria mikononi mwako
 
Mkuu ni jukwaa mojawapo ya kuelimisha jamii, bodaboda ni usafiri wa public na barabara nako tunatumia wananchi wote kwa ujumla ni mambo ambayo yanagusa jamii nzima. Kwa hyo yuendelee kujulishana na kuelimishana!

oky bro, ni mtazamo.
 
Back
Top Bottom