Mwananchi amwaga Machozi akimtaka Rais Samia kufuta Mkataba wa DP World

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,016
9,885
Katika mjadala unaoendelea Clubhouse, mwananchi mmoja aliyetambulika kwa jina la Edna ameshaindwa kuuliza swali baada ya kushikwa na kilio kabla ya kuuliza swali lake kwa wazungumzaji

Kwa sauti ya kulia Edna amesema "Msigwa mwambie dada, Rais Samia afute huo mkataba, sisi hatuutaki"

Msigwa, msemaji mkuu wa serikali ambaye ni muongoza mjadala huo amemwambia Edna asiharibu mjadala, kama hana swali awape fursa wengine waulize

Habari Maelezo, inaongoza mjadala wa kuhusu bandari huko Clubhouse ambapo wananchi wanapewa fursa ya kuuliza maswali na kupewa ufafanuzi na state actors
 
Njaa huleta unafiki..
Sidhani kama Msigwa binafsi anakubali huo mkataba, ila ni lazima alinde ugali wake.
 
Mama Samia kabaki mwenyewe tu katika mkataba huu. Hali ni mbaya sana tena sana. Mbarawa hana amani kabisa. Bogus mkataba huu kila msomi analia. Mama kabaki na Baba Levo na Mauldi Kitenge na yule kuwadi Stev Nyerere.
 
Back
Top Bottom